Nataka utajiri wa giza, utajiri wa mkataba, utajiri wa mizimu ama majini, naomba connection

Mganga atapaka dawa kwenye kichwa cha dudu yake kisha anakuambia uiname upate baraka ya mizimu. Kesi ya didy imetufunua mengi.
Yaani matajiri wengi wa ndumba wameishawekwa mdudu kule nyuma.
Hata kama hupendi atakuwekea kilevi utalewa anageuza makalio anafanye yake ukistuka anakuambia hilo ndio tambiko. Kwa sababu ni tendo baya humuadithii mtu kwa hio mganga anaendeleza ufirauni wake mpaka anazeeka na kifa.
Ni mafukara tu mnapenda habar hizi zinazohusu nyuma.
 
Vijana wanapenda kitonga......
images (1).jpeg
 
Nataka kuukaribia utajiri wa giza, utajiri wa mkataba, utajiri wa mizimu ama majini, connection naombeni, umaskini ni laana wazee mnaelewa?

Au mnataka niwe kama wengine waliojikatia tamaa halafu wanakuja kuwaaga kua wanajiua, halafu wakifa ndio mnawanunulia suti za bei mbaya na jeneza la bei mbayaa, inasaidia nini kwa mfu. Leteni konekshen tujitose, ujasiri ninao nshaamua liwalo na liwe.

Naskia uchungu sana huu umasikini [emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]
Njoo inbox.
 
Mmmh...nimetafakari mengi niliposoma ujumbe wako huu ndugu ,nikakumbuka wimbo wa msondo ngoma baba ya muziki ..
 
Umewahi kufatilia kidogo hayo mambo ya giza mkuu?

Sina uhakika kama niliyoyaona na kuyaskia yamewapa utajiri walio nao au wanaulinda.

Lakini kuna watu wana kila kitu lakini wanachukua mbuzi usiku wa manane na kuzungusha nyumba nzima kisha anafanyiwa mambo flani flani yasiyo ya kawaida kisha anachinjwa.

Kuna tajiri tena ni mtu wa imani katika hizi dini kuu mbili uislamu na ukristo, kuna ritual alionekana akiifanaya makaburini. Point yangu ni kuwa usitoe hitimisho kwa jambo usilokuwa na ujuzi au taarifa ya kutosha.

Hayo uliyoyaandika hapo ni ukweli kabisa yanaweza kumfikisha mtu katika utajiri. Kwa kifupi utajirini safari rahisi sana na ngumu sana. Na ina maswali yake.
Utajiri sio rahisi kama wengi wanavyoutamka kamwe mdomoni
Ajabu bongo ina wajuaji wanaojifanya kujua namna ya kupata utajiri..
Utasikia mara uza karanga sijui fanya biashara na ujitume sana hahahaaaa..
Wanajua maana ya utajiri kweli??
Au wanadhani kuwa na uwezo wa kuingiza 70k per day ndio utajiri?
Utajiri unajumuisha vitu hivi hapa!!
Mali nyingi:
Hapa unakuwa na nyumba nyingi tufanye kumi na kuendelea juu hadi mia na zote zimepangishwa na watu wanalipa kwa utaratibu na pesa inaingia kwenye mfuko wako.
Magari:
Hapa una malori ya mizigo like fuso, semi na mabasi mengi..
Biashara kubwa kubwa nyingi kama vile vituo vya mafuta maduka ya bidhaa mbali mbali makubwa yenye return kubwa na isiyokatika mfano ma mini supermarkets na mà depot makubwa yaani stockist wa kwenda..
Majahazi ya uvuvi na mitumbwi hapa unakuta mtu ana mitumbwi zaidi ya mia mbili ziwani au baharini.
Na mara zote bidhaa zinafoka kwenye maboti yake mpaka giza linaisha mtu amekunja zaidi ya M 500.
Una vihoteli classic na lodge zilizosimama zaidi ya 30.
Una mashamba maheka na maheka unafuga mang'ombe mengi zaidi ya elfu tano..
Yaani umetengeneza ajira kwa watu zaidi ya 1000 na wengine huwajui wala kuhusika nao kabisa lakini channel zako tu zinawafanya wasavaivu..
Huo ndio utajiri anaouzungumzia mleta mada sio awe toiller..
 
Wanataka nitosheke na shilingi mia mbili mbili sababu ntakua na amani.
 
Kuna jamaa alikuwa anajiita WhyMe naye alikuwa kama wewe. Nikamwambia kama akija kupata utajiri kwa uchawi basi mimi nitakuwa muongo.

Hakuna utajiri wa uchawi.
 
Mtoto mdogo bado wewe, msubirie shem akuletee chakula hapo ulipo.
 
Wanataka nitosheke na shilingi mia mbili mbili sababu ntakua na amani.
Hakuna amani kwenye umasikini kamwe,,
Ukiona mtu anakwambia kuwa yeye ni masikini ila ana amani ujue kuwa huyo ni msenge kama wasenge wengine tu wanaodhani kila agano linaelekeza watu kwenda kuingiliwa kinyume na maumbile..

Na utakuta mtu anahubiri kuhusu wewe kufanya kazi fulani ili uwe tajiri nae ni punguani tu huwezi kutajirika kwa kufanya kazi bali unaweza kujiinua na kupata chanzo cha kukusafirisha kuelekea kwenye utajiri..
Utajiri ni mali zako mwenyewe zisizo za kupewa so you generate it on your own kind..
Mungu au Lucifer hatoi utajiri bali anakuwashia tochi na kukulindia njia zako zinyookee kwenye utajiri..
Nimetumia neno Mungu au Lucifer kurefer one Energy that is supernatural..
Mungu na Lucifer ni kitu kimoja..
Na upeo wa watu wengi hudhani kuwa kufilisika ni kufeli kumbe ni njia moja wapo ya kukufanya urefresh maisha na kila kitu ndio maana ukifilisika unabaki wewe tu
Mkeo, marafiki, ndugu na mapartners wote wa kibiashara hukimbia maili elfu moja kwanini??
You need to change everything and start afresh so that you wont roll again with same snakes.
Coz you never know previously you had snakes around you in the name of your mother, wife, friend, or partner.
So the fate decided to ruin them away through your bankrupcy since they couldnt afford staying away from your honey-pot..
Perhaps your wife cheated on you with your business partner on your back..
Your Momma and some of your brothers potrayed a deadly blackmail on you to squinder your money
And you could never know about that.
You only get rich when you reach certain ages. Not any body can get rich at any age.
Those secrets you hide from your people make you be rich cause you learn to hide serious issues with you..
Unaweza kuwa Kondakta wa daladala lakini ukawa na maduka matatu makubwa yaliyotokana na ukondakta wako huo na konda mwenzio wala dereva yeyote asijue lolote lile kuhusu maduka yako hayo na pale mtaani wasijue kuwa wewe ni kondakta wa daladala maana jezi unaacha kwenye gari na kuzifua unafulia kwa dobi alie mitaa tofauti na huko maduka yako yalipo..
Ukiweza kuficha matokeo ya kazi yako ndogo kwa watu wengine basi utapiga hatua na kuwa tajiri maana watashangaa unaacha ukondakta ghafla au unanunua Coaster mpya na unaendelea kuwa kondakta unamtafuta dereva unamwambia umepewa gari na tajiri so wewe ndie unaepeleka hesabu kumbe ukienda kwa wakala pesa unaingiza kwako..
Maisha ya kuelekea utajiri ni lazima uzizuie njia zako kujulikana yaani waje washangae ushakuwa na vitega uchumi vikubwa na vingi..
"They didnt see me coming,, Suddenly I arrived."
 
Nataka kuukaribia utajiri wa giza, utajiri wa mkataba, utajiri wa mizimu ama majini, connection naombeni, umaskini ni laana wazee mnaelewa?

Au mnataka niwe kama wengine waliojikatia tamaa halafu wanakuja kuwaaga kua wanajiua, halafu wakifa ndio mnawanunulia suti za bei mbaya na jeneza la bei mbayaa, inasaidia nini kwa mfu. Leteni konekshen tujitose, ujasiri ninao nshaamua liwalo na liwe.

Naskia uchungu sana huu umasikini [emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]
Cc. Chief Godlove
 
Utajiri sio rahisi kama wengi wanavyoutamka kamwe mdomoni
Ajabu bongo ina wajuaji wanaojifanya kujua namna ya kupata utajiri..
Utasikia mara uza karanga sijui fanya biashara na ujitume sana hahahaaaa..
Wanajua maana ya utajiri kweli??
Au wanadhani kuwa na uwezo wa kuingiza 70k per day ndio utajiri?
Utajiri unajumuisha vitu hivi hapa!!
Mali nyingi:
Hapa unakuwa na nyumba nyingi tufanye kumi na kuendelea juu hadi mia na zote zimepangishwa na watu wanalipa kwa utaratibu na pesa inaingia kwenye mfuko wako.
Magari:
Hapa una malori ya mizigo like fuso, semi na mabasi mengi..
Biashara kubwa kubwa nyingi kama vile vituo vya mafuta maduka ya bidhaa mbali mbali makubwa yenye return kubwa na isiyokatika mfano ma mini supermarkets na mà depot makubwa yaani stockist wa kwenda..
Majahazi ya uvuvi na mitumbwi hapa unakuta mtu ana mitumbwi zaidi ya mia mbili ziwani au baharini.
Na mara zote bidhaa zinafoka kwenye maboti yake mpaka giza linaisha mtu amekunja zaidi ya M 500.
Una vihoteli classic na lodge zilizosimama zaidi ya 30.
Una mashamba maheka na maheka unafuga mang'ombe mengi zaidi ya elfu tano..
Yaani umetengeneza ajira kwa watu zaidi ya 1000 na wengine huwajui wala kuhusika nao kabisa lakini channel zako tu zinawafanya wasavaivu..
Huo ndio utajiri anaouzungumzia mleta mada sio awe toiller..
Mh. Ila mkuu umeongea point.
 
Nataka kuukaribia utajiri wa giza, utajiri wa mkataba, utajiri wa mizimu ama majini, connection naombeni, umaskini ni laana wazee mnaelewa?

Au mnataka niwe kama wengine waliojikatia tamaa halafu wanakuja kuwaaga kua wanajiua, halafu wakifa ndio mnawanunulia suti za bei mbaya na jeneza la bei mbayaa, inasaidia nini kwa mfu. Leteni konekshen tujitose, ujasiri ninao nshaamua liwalo na liwe.

Naskia uchungu sana huu umasikini [emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]
Chief Godlove msaidie huyu mwamba!
 
Back
Top Bottom