Evelyn Salt
JF-Expert Member
- Jan 5, 2012
- 70,916
- 141,437
Kuna dalili zozote za mafanikio mkuu?Nataka kuukaribia utajiri wa giza, utajiri wa mkataba, utajiri wa mizimu ama majini, connection naombeni, umaskini ni laana wazee mnaelewa?
Au mnataka niwe kama wengine waliojikatia tamaa halafu wanakuja kuwaaga kua wanajiua, halafu wakifa ndio mnawanunulia suti za bei mbaya na jeneza la bei mbayaa..inasaidia nini kwa mfu..leten konekshen tujitose ,, ujasiri ninao nshaamua liwalo na liwe..
Naskia uchungu sana huu umasikini
Kwan na wewe unataka mkuuKuna dalili zozote za mafanikio mkuu?
Nautaka sana, ukipata koneksheni nishtue...Kwan na wewe unataka mkuu
haina neno mkuuNautaka sana, ukipata koneksheni nishtue...
Umewahi kufatilia kidogo hayo mambo ya giza mkuu?Pole sana kijana ila kaa uelewe HAKUNA UTAJIRI WA NAMNA hiyo hizo hadithi za utajiri wa kwa waganga ni story ambazo zinakuzwa vijiweni na mitandaoni tu.
Hiyo hela ambayo utaenda kuliwa na mnganga at the end akupe masharti magumu ya uongo ni bora uanzishe hata biashara ya karanga uwape vijana wawe wanasambaza huku wewe unajituma kwenye pilika nyingine kifupi achana na neno WATANIONAJE weka usomi pembeni kuwa kichaa mtafuta ramani yake ya maisha na Mungu atakuona.
Utajiri ni formula ya maisha yako ya kila siku ambayo inazingatia mtazamano wako juu ya maisha,mafikilio yako ya kila siku na matendo yako ya kila siku kama wewe ni mfikilia Amapiano,bata,mademu na kuhonga na kutaka mapumziko ya kifala fala trust me utafikia point hutaona tija ya wewe kuwepo duniani na ndipo shetani atakuwa hachezi mbali na masikio yako ili akunong'oneze ujiue ili utoroke msoto wa hapa duniani.
VIJANA WENZANGU maisha ya sasa hayana huruma na mzembe yanapembua wenye NIDHAMU ya juu sana na NIDHAMU hizo zipo aina tatu
1.NIDHAMU YA PESA-Hakikisha hela zako ziwe majini ya kuita hela nyingine fanyia vya maana tu-wekeza,save ,venture mpaka zikue fanya kama waha na wakinga wanaingia gameni tunawaona na wanyanyuka tunawaona we kutwa kuwauliza wametumia mnganga gani kumbe wenzio wana nidhamu kali ya pesa
2.NIDHAMU YA MUDA muda wako uendane na kufukuzia ndoto zako kwa kujituma utilize muda kwa kutafuta taarifa/maarifa sahihi ya kile unachokifanya
3.NIDHAMU YA JAMII Jamii sio ya kupuuza maana any time inaweza kukuokoa ana kukuacha uangamie bora ujifanye mpole kuliko uwe mjivumi mbele ya jamii maana kwa wajasiriamali jamii ndio mteja mwenyewe
HITIMISHO:
Kama ilivyo utajiri una hizo kanuni chache nilizoandika hivyo hivyo umasikini nao una formula ambazo mara nyingi huwa kinyume na hizo kanuni zilizo andikwa.
Mukuu wewe kama unayo konektion nipe conektion haya mambo ya jumlisha toa alama sjui nini ni ya walimu wa hisabati, mim sio mwalimu.Jibu maswali yafuatayo kwanza;
PART A
1. Utajiri ni nini?
2.Utajiri kwako ni nini kwa maana ya kumiliki,mfano uwe na nini?
3.Unataka utajiri ili iweje?
4.Kwa mujibu wako sadaka ni nini?
5.Mpaka sasa umetoa sadaka kiasi gani ili uwe tajiri?
6.Kitu au jambo gani KWAKO thamani yake ni kubwa na haipimiki au kununulika (priceless)? Mfano UHAI,SEHEMU YA MWILI,UANAUME au UANAMKE n.k
7.Chanzo cha utajiri kitanufaika vipi kwa wewe kuwa sehemu ya wakazi/raia wake?
MASWALI HAYA HAYANA UPANDE WA GIZA WALA MWANGA JIBU KADRI UNAVYOJUA
PART B
Hapa kuna mzani wa alama 1 HADI 10, 1 ni alama inayomaanisha kidogo sana na 10 ni alama ya juu kabisa.
5 ni wastani. Weka alama kwa kila swali.
Je kwa kila kauli hapa chini unajipa alama ngapi?
1. "Najitoa sana kusaidia kwa mawazo na vitendo ninaposhindwa kutoa pesa kwa watu walio katika nyakati ngumu katika jumuiya na jamii yangu"
2."Najiskia vizuri na kuwatakia heri ninapoona hata watu niliowapuuza au kuwaona wa kawaida wanapata mafanikio kabla yangu"
3."Natumia takribani masaa mawili mpaka manne YA ZIADA kila siku kufanya jambo moja ambalo nataka hata nisipokuwepo linitambulishe"
4. "Mara nyingi nimejitoa mstari wa mbele kuongoza jambo chanya bila kujua wala kujali maslahi binafsi"
5. "Kila ninapodhani najua najikuta ninachojua ni kidogo sana,nachukua hatua kujifunza zaidi"
UKIMALIZA KUWEKA ALAMA, ZIJUMLISHE zikiwa chini ya 85, basi jua kuna changamoto katika kuwa tajiri.
nitakuja mukuu nikipata PESA. mana huwez kulima na meno na mbolea pembejeo ziwe mate.Njoo tulime nyanya huku ikwiriri zinalipa.
Eti jamani 😂
hakuna kitu duniani kinakosa masheriti mkuu..kila kitu ni kufanya maamuzi tu.Utajiri wa giza na nguvu za shetani upo ila masharti yake Ni magumu Sana.
Ungeanza kwanza kutaka kujua masharti yake ndo uamue Kama utakubali huo utajiri au la.
Sasa mkuu hayo maswali ndio yanayoamua nguvu zikupe masharti gani na utoe sadaka gani.Mukuu wewe kama unayo konektion nipe conektion haya mambo ya jumlisha toa alama sjui nini ni ya walimu wa hisabati, mim sio mwalimu.
Sawa ombi lako limesikika,
Jitayarishe kwa safari ya kwenda Ukraine front line.
Liko wapiTafuta lile tangazo Wegner wanatafuta mamluki kwenda kupigana Ukraine Kuna watu wameshauaga umasikini.
Nenda nyanda za juu kusini ,kaonane na wakinga ,wana utajiri wa kuoza ,punje na wa kuondoa viungo vya mwili.Nataka kuukaribia utajiri wa giza, utajiri wa mkataba, utajiri wa mizimu ama majini, connection naombeni, umaskini ni laana wazee mnaelewa?
Au mnataka niwe kama wengine waliojikatia tamaa halafu wanakuja kuwaaga kua wanajiua, halafu wakifa ndio mnawanunulia suti za bei mbaya na jeneza la bei mbayaa..inasaidia nini kwa mfu..leten konekshen tujitose ,, ujasiri ninao nshaamua liwalo na liwe..
Naskia uchungu sana huu umasikini [emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]
Nyie wabongo mlivyo na husda na uchungu wa kutoa hela hata za rambirambi mtakuja kunikanyaga mapumb ili mhakikishe kwel kama nimekufa.Danganya kama umekufa tutume rambirambi
Hata Pope kuhakikisha amekufa huwa anapigwa nyundo ya kichwa x3Nyie wabongo mlivyo na husda na uchungu wa kutoa hela hata za rambirambi mtakuja kunikanyaga mapumb ili mhakikishe kwel kama nimekufa.