Braza Kede
JF-Expert Member
- Nov 1, 2012
- 5,168
- 8,982
Haa sa kwaniniIkiwezekana kimbia kabisa..
Nimecheka sanaIkiwezekana kimbia kabisa..
Pita kushoto kisha tembeaWakuu naomba mwongozo.
Kwa mfano upo zako uko kitaa unamuona jamaa amechill sehemu anaperuziperuzi kurasa za jeieFu huku anachekacheka.
Unatakiwa ufanyaje yani kwa fellow member kama huyu?
Je ni busara kula buyu tu kama vile huijui hata iyo jeiefu yenyewe na ukaendelea na yako?
Je sio ingependeza mka-haiana kiaina na jamaa na ikiwezekana hata kutambuana?
Ungemuonesha tu profile, we live onceKuna siku nilikua kwenye panton naperuzi jf ghafla nikajishtukia
Nikageuka nyuma nikamuona mbaba mtu mzima sana, anakodolea simu yangu, kwa jinsi nilivyomsoma alikua anasubiri tu ajue mimi ni nani.
Nikamchekea na yeye akacheka.
Nikamchekea na yeye akacheka.Kuna siku nilikua kwenye panton naperuzi jf ghafla nikajishtukia
Nikageuka nyuma nikamuona mbaba mtu mzima sana, anakodolea simu yangu, kwa jinsi nilivyomsoma alikua anasubiri tu ajue mimi ni nani.
Nikamchekea na yeye akacheka.
Atakuwa ni pastor w mchongo uyooKuna pastor mmoja ni member humu. Mcha Mungu sana Ila niliwahi kumkuta mahali kwa mtaalam nikanyuti😂
Afu we mrembo ulikua wapi jana unatafutwa uweke sauti yako ukajifichaNimecheka sana
Kuna siku nilikua kwenye panton naperuzi jf ghafla nikajishtukia
Nikageuka nyuma nikamuona mbaba mtu mzima sana, anakodolea simu yangu, kwa jinsi nilivyomsoma alikua anasubiri tu ajue mimi ni nani.
Nikamchekea na yeye akacheka.