Mvinyo mpya
JF-Expert Member
- Aug 24, 2013
- 3,816
- 9,308
Kuna nyingine Tumbili in TownKuna id zina heshima yake si mbaya hata mtu akajua vipi mtu kama Tumbili wa Mjini atakua na ujasiri wa kusema id yake kweli? Au dronedrake😹😹😹

Mtego huo ukamatwe ukakatwe kidevu.Haa sa kwanini
Mkanywe hata moja baridi moja motoWakuu naomba mwongozo.
Kwa mfano upo zako uko kitaa unamuona jamaa amechill sehemu anaperuziperuzi kurasa za jeieFu huku anachekacheka.
Unatakiwa ufanyaje yani kwa fellow member kama huyu?
Je ni busara kula buyu tu kama vile huijui hata iyo jeiefu yenyewe na ukaendelea na yako?
Je sio ingependeza mka-haiana kiaina na jamaa na ikiwezekana hata kutambuana?
Jitahidi ujue id yakeWakuu naomba mwongozo.
Kwa mfano upo zako uko kitaa unamuona jamaa amechill sehemu anaperuziperuzi kurasa za jeieFu huku anachekacheka.
Unatakiwa ufanyaje yani kwa fellow member kama huyu?
Je ni busara kula buyu tu kama vile huijui hata iyo jeiefu yenyewe na ukaendelea na yako?
Je sio ingependeza mka-haiana kiaina na jamaa na ikiwezekana hata kutambuana?
kiongozi unauliza mknd wa mbwa wakati mkia unauona?😆Nikamchekea na yeye akacheka.
mlikuwa mnachekeanaa yani... kilifata nini baada kuchekeana cheko za kwenye pantoni?
Ni aibuu kwa kweriii bora kusalimiana Ila Kuna BAADHI YA WATU for sure ni ngumu kupata uhalisia wao wapo wengi Sanaa 😊Kuna id zina heshima yake si mbaya hata mtu akajua vipi mtu kama Tumbili wa Mjini atakua na ujasiri wa kusema id yake kweli? Au dronedrake😹😹😹
Rangi ya kisukuma ipoje
Tena waambie hao Polisi kwamba Analeta TaharukiMripoti kituo cha polisi kilicho karibu
Muombe akusaidia kulipa rejesho la ASA.Wakuu naomba mwongozo.
Kwa mfano upo zako uko kitaa unamuona jamaa amechill sehemu anaperuziperuzi kurasa za jeieFu huku anachekacheka.
Unatakiwa ufanyaje yani kwa fellow member kama huyu?
Je ni busara kula buyu tu kama vile huijui hata iyo jeiefu yenyewe na ukaendelea na yako?
Je sio ingependeza mka-haiana kiaina na jamaa na ikiwezekana hata kutambuana?
hamna msukuma waivo bana...
Mseme bhana 😹Ningemsema mtu niliyekutana nae kwenye SGR ila akuuu atanijua 🤐🤸
Mpaka unamkuta kwa mtaalam hapo hamna mcha Mungu,ni mchumia tumbo.Kuna pastor mmoja ni member humu. Mcha Mungu sana Ila niliwahi kumkuta mahali kwa mtaalam nikanyuti😂
Haahaaa 😆😆😆 job true trueMimi ndugu yangu wa damu yumo umu Ana I'd kongwe Ila akiwa anaperuzi hataki MTU aweke jicho kwa simu yake
Ahaaaa eti mchumia tumboMpaka unamkuta kwa mtaalam hapo hamna mcha Mungu,ni mchumia tumbo.