Natakiwa kufanya nini nikimwona member mwenzangu wa hapa jeiefu?

Natakiwa kufanya nini nikimwona member mwenzangu wa hapa jeiefu?

Hivi karibu Nilikuwa kwenye dalala napekua jf "Mmu" kuna mdada alikuwa amesimama karibu kabisa na siti yangu alikuwa anaikodolea simu yangu ni kama anajaribu kusoma ninchosoma nikahisi huyu atakuwa expert member, baadae akageka kiupande upande huku kalio lake akilisogeza upande wangu, Nikawa nalipigia chabo lile kalio nashindwa kumakinika na mada ya MMu, ninikahisi tena huyu anaweza kuwa ndio yule mshagazi/ binti wa zamani wa jf.

Baadae nilivyoshuka nikajua tu yule mdada sio jf member kwani wana jf wote wana mandinga kasoro mimi.
 
Wakuu naomba mwongozo.

Kwa mfano upo zako uko kitaa unamuona jamaa amechill sehemu anaperuziperuzi kurasa za jeieFu huku anachekacheka.

Unatakiwa ufanyaje yani kwa fellow member kama huyu?

Je ni busara kula buyu tu kama vile huijui hata iyo jeiefu yenyewe na ukaendelea na yako?

Je sio ingependeza mka-haiana kiaina na jamaa na ikiwezekana hata kutambuana?
Mimi tulimpa lifti mdada mmoja alikua amevaa ushungii nikamwona anasoma somaa Jf nikawa curious kumuulizaa.

Tukapiga Sana mastory Ila hatukuambiana IDs zetuuu IKABAKIA SIRIII
 
Kuna siku nilikua kwenye panton naperuzi jf ghafla nikajishtukia
Nikageuka nyuma nikamuona mbaba mtu mzima sana, anakodolea simu yangu, kwa jinsi nilivyomsoma alikua anasubiri tu ajue mimi ni nani.
Nikamchekea na yeye akacheka.
Huyo mbaba alikua ni mimi,
Nitakupie kwa ile namba yako,nina mazungumzo kidogo na wewe.
 
Nliwahi muona kienyeji moja hivi anaperuzi rangi ya kisukuma ila nyama zimo
 
Wakuu naomba mwongozo.

Kwa mfano upo zako uko kitaa unamuona jamaa amechill sehemu anaperuziperuzi kurasa za jeieFu huku anachekacheka.

Unatakiwa ufanyaje yani kwa fellow member kama huyu?

Je ni busara kula buyu tu kama vile huijui hata iyo jeiefu yenyewe na ukaendelea na yako?

Je sio ingependeza mka-haiana kiaina na jamaa na ikiwezekana hata kutambuana?
Run and never look back
 
Kuna siku nilikua kwenye panton naperuzi jf ghafla nikajishtukia
Nikageuka nyuma nikamuona mbaba mtu mzima sana, anakodolea simu yangu, kwa jinsi nilivyomsoma alikua anasubiri tu ajue mimi ni nani.
Nikamchekea na yeye akacheka.
Nishakukumbuka
 
Mimi tulimpa lifti mdada mmoja alikua amevaa ushungii nikamwona anasoma somaa Jf nikawa curious kumuulizaa.

Tukapiga Sana mastory Ila hatukuambiana IDs zetuuu IKABAKIA SIRIII
Kuna id zina heshima yake si mbaya hata mtu akajua vipi mtu kama Tumbili wa Mjini atakua na ujasiri wa kusema id yake kweli? Au dronedrake😹😹😹
 
Back
Top Bottom