Natakiwa kufanya nini nikimwona member mwenzangu wa hapa jeiefu?

Mkanywe hata moja baridi moja moto
 
Jitahidi ujue id yake
 
Nina mshikaji wangu kitaa yupo humu lakini hatujuani ID na wala hakuna hata mmoja aliyemuuliza mwenzie ID
 
Muombe akusaidia kulipa rejesho la ASA.
 
Kama wa kike mtongoze mwambie wewe ni star JamiiForums 😎
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…