Natakiwa kumfukuza kazi muajiriwa aliekuwa kwenye kampuni kwa miaka 17, Nifanyeje?

daxy Jr

Member
Joined
Apr 15, 2020
Posts
88
Reaction score
307
Habari wana JF, Mimi ni HR wa kampuni fulani kwa miaka 2 sasa. Nimepewa order na maboss zangu kumfukuza mfanyakazi ambae amefanya kazi kwenye kampuni hii kwa miaka 17. Amefanya kosa ambalo ni la kusamehewa tu ukiangalia na muda aliojitoa kwenye kampuni hii.

Bado hajui chochote na kwangu imekua ngumu kumwambia, NIFANYEJE wadau?
 
Waeleze asemehewe tu utaangalia response yao kama wametaka afukuzwe basi ndio moja ya kazi yako uliyoajiriwa Hapo hio huwezi jua kuna mtu mwengine Mungu anataka ampe riziki hio ajawai kufanya kazi hata mwaka 1 na ana mahitaji
 
Inauma lakini inabidi uzoee.
Kama wameamua afukuzwe, it means kuna kitu kikubwa zaidi ya hicho unachojua.
Mtwange barua af muite chemba kistaarabu umwambie wewe umeandika barua tu, waliosaini ni wale wa juu kama kuna jam akapambane nao.
Maana usipoangalia mwamba atawapiga kipapai ofisi nzima
 
Habari wana JF, Mimi ni HR wa kampuni fulani kwa miaka 2 sasa. Nimepewa order na maboss zangu kumfukuza mfanyakazi ambae amefanya kazi kwenye kampuni hii kwa miaka 17. Amefanya kosa ambalo ni la kusamehewa tu ukiangalia na muda aliojitoa kwenye kampuni hii.

Bado hajui chochote na kwangu imekua ngumu kumwambia, NIFANYEJE wadau?
Mi nafikir kuna namna ya kufanya kwanza kama mkataba wake n wakudumu jarb kumtetea kuwa ki haki hilo kosa n la kusamehewa wa mwite umpe onyo kar kuwafanya ao maboss wajue upo upande wao

Kama mkataba wake n wa kila mwaka pia mtetee washaur ao mabos endapo mkimgukuza na akajarib kuchukua hatua zaid kama kosa n la kawaida italeta changamoto kwenye kampuni

By the way unatakiwa kuwa honest sana japo private sector waga n wanyanysaji sana ila mpamba ie uyo jamaa asee
 
Habari wana JF, Mimi ni HR wa kampuni fulani kwa miaka 2 sasa. Nimepewa order na maboss zangu kumfukuza mfanyakazi ambae amefanya kazi kwenye kampuni hii kwa miaka 17. Amefanya kosa ambalo ni la kusamehewa tu ukiangalia na muda aliojitoa kwenye kampuni hii.

Bado hajui chochote na kwangu imekua ngumu kumwambia, NIFANYEJE wadau?
Issue hapo itakuwa amekuwa na mshahara mkubwa, kinachofanyika ni kumtafutia kosa hata liwe dogo ili wamfukize kazi, waajiri kijana mdogo mwenye mshahara mdogo!! Inauma sana
 
Habari wana JF, Mimi ni HR wa kampuni fulani kwa miaka 2 sasa. Nimepewa order na maboss zangu kumfukuza mfanyakazi ambae amefanya kazi kwenye kampuni hii kwa miaka 17. Amefanya kosa ambalo ni la kusamehewa tu ukiangalia na muda aliojitoa kwenye kampuni hii.

Bado hajui chochote na kwangu imekua ngumu kumwambia, NIFANYEJE wadau?
Ulisoma chuo Gani ndugu yangu? Ila kumbuka huyo NTU ana familia na watu wanaomtegemea!
 
Back
Top Bottom