Beverlyn
JF-Expert Member
- Aug 17, 2019
- 704
- 2,907
umesoma uzi? HR ameshapewa go ahead amfukuze mtu kazi na mtu hajui.End of Contract bila sababu? Labda kama umekosea au kiwango chako hakiridhishi.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
umesoma uzi? HR ameshapewa go ahead amfukuze mtu kazi na mtu hajui.End of Contract bila sababu? Labda kama umekosea au kiwango chako hakiridhishi.
Ni kweli wewe uko tayari uwe unashinda hukoo.Kesi za CMA/Mahakamani zinachukua mpaka miaka 10
mkuu on another angle inaweza kuwa baraka pia..huyo mtu amekaa 17yrs inawezekana ana ujuzi na maarifa ya kujitegemea na kufungua busness/investment zake ambazo zitakuwa kubwa na kusaidia wengi..but labda hana confidence ya kutoka kwenye comfort zone au anasitasita kufanya maamuzi..then Mungu anaamua kumsaidia aondoke hata kwa kufukuzwa ili aweze kufanya hayo makubwa!..haya mambo yapo na waliofanikiwa wengi wana hizi backgrounds!Unyama wa private sector. Kufukuzana ni sekunde… unadamka kuwahi kazini, kumbe Boss na menejiment yake wamepanga kukupa End of contract 🥹
Asishangae na yeye baada ya miezi 6 mbele anakunjiwa sura anaambiwa akae pembeni aingie mtu mwingine kwenye nafasi yakeFanya kilichokupeleka
Hata wewe siku yako yakufukuzwa ipo
Hiyo ndio private sector
Na haiwezi kuwa End of Contract...umesoma uzi? HR ameshapewa go ahead amfukuze mtu kazi na mtu hajui.
Kumfukuza mtu kazi hapana jamani...Habari wana JF, Mimi ni HR wa kampuni fulani kwa miaka 2 sasa. Nimepewa order na maboss zangu kumfukuza mfanyakazi ambae amefanya kazi kwenye kampuni hii kwa miaka 17. Amefanya kosa ambalo ni la kusamehewa tu ukiangalia na muda aliojitoa kwenye kampuni hii.
Bado hajui chochote na kwangu imekua ngumu kumwambia, NIFANYEJE wadau?
Watu hawana utu aiseeIssue hapo itakuwa amekuwa na mshahara mkubwa, kinachofanyika ni kumtafutia kosa hata liwe dogo ili wamfukize kazi, waajiri kijana mdogo mwenye mshahara mdogo!! Inauma sana
Huzijui private hiz za kijinga jinga hizKumfukuza mtu kazi hapana jamani...
Hakuna Warning letter apewe? Displinary Committee je?
Soma mkataba vizuri, itawagharimu huko mbeleni! Mkimfukuza kindezi atakimbilia CMA na huko kama hamtamlipa pesa yake vizuri atawabwaga! Rudia kusoma mkataba vizuri pamoja na sheria ya mahusiano kazini ya mwaka 2004!Habari wana JF, Mimi ni HR wa kampuni fulani kwa miaka 2 sasa. Nimepewa order na maboss zangu kumfukuza mfanyakazi ambae amefanya kazi kwenye kampuni hii kwa miaka 17. Amefanya kosa ambalo ni la kusamehewa tu ukiangalia na muda aliojitoa kwenye kampuni hii.
Bado hajui chochote na kwangu imekua ngumu kumwambia, NIFANYEJE wadau?
Akifika miaka 60Kwa sheria za Tanzania mtu akifanya kazi miaka 15 anakuwa pensionable.Mkimfukuza kazi mpeni stahiki Zake zote,.pia anastahili kupewa kiinua mgongo na pesheni ya kila mwezi.
Mimi ninawatoto mhurumieni,tokea nimekuwa na watoto nimebadili mtazamo wangu kuhusu kumfukuza mtuKama anawatoto mhurumie
Hahaa sekta binafsi ya kidwanzi sana chapchap wanakupiga chiniAsishangae na yeye baada ya miezi 6 mbele anakunjiwa sura anaambiwa akae pembeni aingie mtu mwingine kwenye nafasi yake