Natakiwa kumfukuza kazi muajiriwa aliekuwa kwenye kampuni kwa miaka 17, Nifanyeje?

Natakiwa kumfukuza kazi muajiriwa aliekuwa kwenye kampuni kwa miaka 17, Nifanyeje?

Habari wana JF, Mimi ni HR wa kampuni fulani kwa miaka 2 sasa. Nimepewa order na maboss zangu kumfukuza mfanyakazi ambae amefanya kazi kwenye kampuni hii kwa miaka 17. Amefanya kosa ambalo ni la kusamehewa tu ukiangalia na muda aliojitoa kwenye kampuni hii.

Bado hajui chochote na kwangu imekua ngumu kumwambia, NIFANYEJE wadau?
Namjua huyo unaetaka kumfukuza na yeye anajua kua unataka kumfukuza kwa hio ongea vizuri na hao maboss waelekeze vizuri,
 
Kwa sheria za Tanzania mtu akifanya kazi miaka 15 anakuwa pensionable.Mkimfukuza kazi mpeni stahiki Zake zote,.pia anastahili kupewa kiinua mgongo na pesheni ya kila mwezi.
Huo ndo ukweli lakini kama ni mtu wa Mkataba ambao ni renewable e.g.@ after 2yrs itakuwa na ukakasi kidogo. Private sector inaukorofi sana.
 
yani muajiri siku zote ni mzungu na serikali tu, hao wengine hamna kitu ni full miyeyusho
 
Wewe ni HR uliyesomea? Basi unajua utaratibu wa kisheria wa kufukuza mfanyakazi.
Ili mtu wafukuzwe anahitajika
kwanza kupewa onyo la mdomo
Pili kuandikiwa barua ya onyo
Tatu kusimamishwa huku anapokea nusu mshahara
Nne kufukuzwa.
Hr awaeleze haya hao mabosi zake , ili wajue the red line ya kutumia hisia kumfukuza mtu kazi , kabla ya onyo,
Ila naona kama Hr mwenyewe either hajui ethics za kazi yake au anawaabudu mabosi zake kwa kumpa huo u hr,
 
pitia faili lake uone kama kuna record mbovu za mara kwa mara,angalia kosa analopaswa kufukuzwa kwalo sasa kama ni multiple repeated na alishawahi kuonywa mara kenda,rudi angalia achievements zake katika taasisi,jiulize kama kuna mabadiriko ya sera za kazi katika taasisi then mu asses yeye binafsi kama anafiti na sera hizo kama sera hazijabadirika basi rudi angalia impact za kumtoa kazini na kumuajiri mwingine then majibu yatakupati muongozo kma hr unanafasi yakuihauri top line
 
Habari wana JF, Mimi ni HR wa kampuni fulani kwa miaka 2 sasa. Nimepewa order na maboss zangu kumfukuza mfanyakazi ambae amefanya kazi kwenye kampuni hii kwa miaka 17. Amefanya kosa ambalo ni la kusamehewa tu ukiangalia na muda aliojitoa kwenye kampuni hii.

Bado hajui chochote na kwangu imekua ngumu kumwambia, NIFANYEJE wadau?
Mbona huyo mzee unayemzungumzia ni kama baba yangu hivi
 
Attachments

  • 1681398571350.jpg
    1681398571350.jpg
    29.8 KB · Views: 1
Tunzee Yuko kwenye idara gani je Ana taaluma kubwa yenye soko au umuhimu wake kazin ,kitengo Ni mkubwa
 
Habari wana JF, Mimi ni HR wa kampuni fulani kwa miaka 2 sasa. Nimepewa order na maboss zangu kumfukuza mfanyakazi ambae amefanya kazi kwenye kampuni hii kwa miaka 17. Amefanya kosa ambalo ni la kusamehewa tu ukiangalia na muda aliojitoa kwenye kampuni hii.

Bado hajui chochote na kwangu imekua ngumu kumwambia, NIFANYEJE wadau?
Mpeni ela yake aliyo tumikia kampuni ndo njia ya kumfukuza haende kutafuta maisha kwengine.
 
Ukiingia kwemye Hearing na maboss inabidi utetee kibaru chako. Ukimtetea huyo bstaff unaweza ukapigwa warning letter au kuondoka kabisa
 
Habari wana JF, Mimi ni HR wa kampuni fulani kwa miaka 2 sasa. Nimepewa order na maboss zangu kumfukuza mfanyakazi ambae amefanya kazi kwenye kampuni hii kwa miaka 17. Amefanya kosa ambalo ni la kusamehewa tu ukiangalia na muda aliojitoa kwenye kampuni hii.

Bado hajui chochote na kwangu imekua ngumu kumwambia, NIFANYEJE wadau?
Ili kuonesha msimamo wa kutokubaliana na maamuu ya kidhalimu ya hao mabosi zako ni wewe kujiuzuru nafasi yako ya u HR
 
Kuna tofauti gani inapohusu suala la job security ukiwa private na public sector?
Sheria za kazi zipo na kama muajiriwa unapaswa kuzijua,..Tatizo waTz wengi hawashughuliki nazo kwa imani ya kuwa sector binafsi haifati sheria. Mimi nimefanya serikalini, shirika la umma na sasa sector binafsi..
 
Dogo umekuja kutusema mitandaoni.sasa usimfukuze uone pambafu kala pisi yangu huyu
 
Back
Top Bottom