Tunaomba kujua kosa.Amefanya kosa ambalo ni la kusamehewa tu ukiangalia na muda aliojitoa kwenye kampuni hii.
Mi nafikir kuna namna ya kufanya kwanza kama mkataba wake n wakudumu jarb kumtetea kuwa ki haki hilo kosa n la kusamehewa wa mwite umpe onyo kar kuwafanya ao maboss wajue upo upande waoHabari wana JF, Mimi ni HR wa kampuni fulani kwa miaka 2 sasa. Nimepewa order na maboss zangu kumfukuza mfanyakazi ambae amefanya kazi kwenye kampuni hii kwa miaka 17. Amefanya kosa ambalo ni la kusamehewa tu ukiangalia na muda aliojitoa kwenye kampuni hii.
Bado hajui chochote na kwangu imekua ngumu kumwambia, NIFANYEJE wadau?
Issue hapo itakuwa amekuwa na mshahara mkubwa, kinachofanyika ni kumtafutia kosa hata liwe dogo ili wamfukize kazi, waajiri kijana mdogo mwenye mshahara mdogo!! Inauma sanaHabari wana JF, Mimi ni HR wa kampuni fulani kwa miaka 2 sasa. Nimepewa order na maboss zangu kumfukuza mfanyakazi ambae amefanya kazi kwenye kampuni hii kwa miaka 17. Amefanya kosa ambalo ni la kusamehewa tu ukiangalia na muda aliojitoa kwenye kampuni hii.
Bado hajui chochote na kwangu imekua ngumu kumwambia, NIFANYEJE wadau?
Kumfukuza inaweza kuwa blessing kwake!Miaka 17? Yeye atafanya mambo yake lini? Mnamzeesha bure
Ulisoma chuo Gani ndugu yangu? Ila kumbuka huyo NTU ana familia na watu wanaomtegemea!Habari wana JF, Mimi ni HR wa kampuni fulani kwa miaka 2 sasa. Nimepewa order na maboss zangu kumfukuza mfanyakazi ambae amefanya kazi kwenye kampuni hii kwa miaka 17. Amefanya kosa ambalo ni la kusamehewa tu ukiangalia na muda aliojitoa kwenye kampuni hii.
Bado hajui chochote na kwangu imekua ngumu kumwambia, NIFANYEJE wadau?