Natakiwa kuwekewa vipandikizi kwenye uume, mirija ni miembamba haipitishi damu nyingi

Uzito kg 72 urefu cm168 mazoezi ya pumzi kukimbia sifanyi sababu na matatizo ya goti kuuma wakati kufanya mazoezi kuruka kamba yenyewe inawezekana pushup sijawahi fanya kwakweli sababu mi mfupi sitaki maji yenyewe nakunywa kuanzia lita2 Hadi tatu kwasiku...pilipili manga sijawahi tafuna maana nna vidonda vya tumbo
 
Nakula vyakula vilivyopikwa na mafuta hasa Nazi vile vile vya kuokwa sijawahi kula kukaanga vyakula nakula mara moja moja.. pia wingi wangu wa damu sijawahi kujua upo kiasi gani
 
Sio dct!!!ila mazoez ni ya mwili hupelekea mirija kutanuka na damu kuflow vzr
 
Naambiwa kama hivi mishipa nimiembamba...ili niwe ok ilitakiwa mishipa iwe minene damu ipite nyingi ili uume kuwezesha kukaa mda mrefu
 
Nimefanyia vipimo vyote hospital..nadaktar nilieonana nae urology specialist
Ni hospitali gani mkuu?

Hata jina tu la hospitali huwezi kulitaja? Nahitaji kufanya comprehensive blood work ndiyo maana naulizia. Yaani wanakutoa damu kwenye mkono halafu wanapima karibu kila kitu - cholesterol, sukari, Triglycerides, protein mbalimbali mpaka zile zinazoashiria baadhi ya kansa n.k

Nataka tu kujua jina la hospitali/lab ulikofanyia hivi vipimo mkuu kama inawezekana
 
Usijisumbue na hayo mambo ya kwenda kupanua mishipa ya uume .

Tuliza akili , tafuta tiba mbadala bila kusahau kuwa hayo matatizo yanaanzia kwenye fikra zako ila simpingi daktari ila nakuambia achana na hizo habari za hospitalini kuhusu nguvu za uume
 
Mdm urology specializeld hospital..
 
Hiyo triglycerides na protein sjafayiwa maana sjaona ktk majibu ya vipimo vyangu
 
Usijisumbue na hayo mambo ya kwenda kupanua mishipa ya uume .

Tuliza akili , tafuta tiba mbadala bila kusahau kuwa hayo matatizo yanaanzia kwenye fikra zako ila simpingi daktari ila nakuambia achana na hizo habari za hospitalini kuhusu nguvu za uume
Nifanyaje mkuu maana imeonekana mshipa yangu nimiembamba
 
Sina hakika kama hyo huduma inafanyika hapa nchini,sijawahi kuisikia..jamaa atakuwa katupiga kamba
 
Pole sana mkuu, tatizo naloliona ni vidonda vya tumbo ndiyo chanzo na wala si mishipa....Mishipa hata ikiwa midogo inapitisha damu tu.
 
Usijisumbue na hayo mambo ya kwenda kupanua mishipa ya uume .

Tuliza akili , tafuta tiba mbadala bila kusahau kuwa hayo matatizo yanaanzia kwenye fikra zako ila simpingi daktari ila nakuambia achana na hizo habari za hospitalini kuhusu nguvu za uume
Tatizo la jamaa ni la kisakolojia Zaidi, anashindwa hata kuelewa mahusiano ya afya ya akili na tendo la ndoa.. Tunamshauri kila mara lakini hamalizi wiki analeta uzi
 
Nomeogopa sana.je, uriambiwa sabab ni nn? au urikua unapiga punyeto sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…