malembeka18
JF-Expert Member
- Jan 26, 2018
- 3,266
- 3,698
- Thread starter
-
- #61
Mkuu sio hivo mtu ukiugua unatapatapa..ila kisaikolojoa ndo miaka9 saikolojia isikae sawaTatizo la jamaa ni la kisakolojia Zaid,,anashindwa hata kuelewa mahusiano ya afya ya akili na tendo la ndoa..tunamshauri kila mara lakini hamalizi wiki analeta uzi
Rainbow njia panda kama unaenda kawe mita 150 ndo Iko hospitalPale ni kwa zena au njiapanda ya rainbow oilcom?
Sababu niliambiwa inatokea tu punyeto nimepiga mara6 mpaka nafika umri huu miaka36Nomeogopa sana.je, uriambiwa sabab ni nn? au urikua unapiga punyeto sana
Namim navidonda vya tumbo tangu 2018 ila shida yakusimamisha dhaifu kushindwa fanya ipasavyo nimekua nayo kabla sijaugua madonda ya tumbo
Hata zaidi ya hapo mkuu,Mkuu sio hivo mtu ukiugua unatapatapa..ila kisaikolojoa ndo miaka9 saikolojia isikae sawa
Nimeshuhudia mara nyingi akishauliwa ila haelewi bahati mbaya haelewi kuwa miongoni mwa wanaomshauri wengine ni madaktari pia .Tatizo la jamaa ni la kisakolojia Zaid,,anashindwa hata kuelewa mahusiano ya afya ya akili na tendo la ndoa..tunamshauri kila mara lakini hamalizi wiki analeta uzi
Kama unapajua mkuu unaweza kutoa maelekezo ya kueleweka maana jamaa anatoa maelekezo nusunusu tena kwa nyodo kweli....Pale ni kwa zena au njiapanda ya rainbow oilcom?
Hakika mkuu,Nimeshuhudia mara nyingi akishauliwa ila haelewi bahati mbaya haelewi kuwa miongoni mwa wanaomshauri wengine ni madaktari pia .
Haya mambo ukiyaendea pupa utaharibu hela na afya yako mwenyewe
Sio Muhimbili ni Benjamin Mkapa HospitalNi kama nilisikia kwa sasa Muhimbili wanapandikiza uume, so unaweza kujichagulia na size unayoitaka.
Sent from my SM-A6050 using JamiiForums mobile app
Kaa chini sahau fedhea na aibu zilizokupata kisa nguvu za kiume jione kuwa sasa ni rijali baada ya hapo tumia tiba mbadala kama mchanganyiko wa tangawizi , limao na vitunguu swaumu .Nifanyaje mkuu maana imeonekana mshipa yangu nimiembamba
Jaribu kutafuta dr bingwa mwingine. Siku zote jambo kubwa kama hilo usilitekeleza kwa kumsikiiza dr mmojaSio lazima ila hata hiyo roud kwanza huwa naweza kufanikiwa kuifanya Tena kwa dk chache sana au nkashindwa kabisa kufanikiwa kuifanya
Ndo Hiko Hiko wanaweka kitube ktk uume amchazo kinakua kinajazwa na pampu unapotaka kufanya inasimama tube ikiwa na upepo Ina enlarge kufanya uume usimame mda mrefu zaid operation Yake yakuweka naskia m12Juzi nilisikia hospital ya dodoma benjamin mkapa wamepandikiza kifaa cha kuweza kusimamisha uume fresh kwa wanaume wawili kwa mafanikio makubwa baada ya hapo kuna watu zaidi ya elfu 1000 wameenda kuomba ufafanuzi jinsi inavyofanya kazi...jaribu kucheck hiyo hospital.
Duuuuh, pole Sana Kiongozi.Mwenzi wangu haridhiki na round moja..Tena Bora ingekua niroud anagalau Niya dk10+ ila niround ya chini yadakika5
Mkuu mbona nimeelekeza sipajua vizur nimeenda mara moja tu hiyo siku naendatibiwa kwakuelekezwa jamaa hapo kafafanua vizur ndio penyeweKama unapajua mkuu unaweza kutoa maelekezo ya kueleweka maana jamaa anatoa maelekezo nusunusu tena kwa nyodo kweli....
Vidonda vya tumbo ndo changamoto kula hivo nifanyajeKusema umekula tangawizi sana huo ni uongo, mi nimekula tangawizi kwa ajili ya kikohoz ila kilichoongezeka ni nguvu za kiume.
Sikia ongeza Na kitunguu swaumu na asali hospital utapoteza mpaka uwezo ulobakia amini hivyo
Huu mchangayiko ukojeKaa chini sahau fedhea na aibu zilizokupata kisa nguvu za kiume jione kuwa sasa ni rijali baada ya hapo tumia tiba mbadala kama mchanganyiko wa tangawizi , limao na vitunguu swaumu .
Asante mkuuPole sana kaka
Kiongozi vitunguu swaumu, tangaswizi na asali ni dawa ya ulcers piaVidonda vya tumbo ndo changamoto kula hivo nifanyaje