Natakiwa kuwekewa vipandikizi kwenye uume, mirija ni miembamba haipitishi damu nyingi

Baaas! Shida wala sio mishipa hapo.fear is sickness!
 
Huumwi kimaumbile unaumwa kisaikolojia hebu kaa na mwenza wako mueleze kwa uwazi na yeye ndie awe daktari wa hili tatizo nakuhakikishia unakuwa sawa.
Mpe jukumu la kukutibu mwenza wako.
 
Huumwi kimaumbile unaumwa kisaikolojia hebu kaa na mwenza wako mueleze kwa uwazi na yeye ndie awe daktari wa hili tatizo nakuhakikishia unakuwa sawa.
Mpe jukumu la kukutibu mwenza wako.
Nilishakaa nae nikamuelezea kwa uwazi kabisa kuwa ndie daktar..ila anaishia kuwa anakuambia unakua namawazo yanin Sasa chukulia kawaida
 
Tumia na lenyewe ulete mrejesho.....pia dawa za kimasai jaribu.....mkongo hautakuangusha
Nimeandikwa madawa yakizungu yakutumia mwezi mmoja. Dawa zakimasai sihadi nimpate anaejua vizur na mkogo naskia humu wanasema hauna ishu sababu haukupi furaha yatendo sababu unakaa masaa mengi bila kukojoa
 
Wewe unataka hadi uume upinde kama ndizi ukisimama?
 
Sjakulewa hapa...unatoa inabaki huna -
Umeelewa. Sasa uki imagine umepona halafu ukaulizwa vipi hali yako au ukawa na wasiwasi na hali yako, au hali yeyote hasi katika kichwa chako, ndio kinafanya tatizo liendelee kuwepo.

Ask + Believe = receive
 
Yaani hayo yote ili uende round nyingi!!? Kama hela unazo mbona kimoja tu wanaridhika?
 
Kufanya kwaukamilifu ndio sometime inakua yes sometimes inakua no yaan ngoma inasima ukiweka ukeni ikipampu dk2 inalala ikiwa umo humo au dk3 umekujoa kurudia baada ya masaa mengi
Tafuta therapist mzee, uko poa tu hauna tatizo hilo unaloliwaza. Tatizo lako ni la kisaikolojia zaidi ya ki boilojia.
 
Wangu anataka kimoja Cha mda mrefu anagalau dk15 aridhike
Kama njia zote za asili zimegoma achana na habari za kuoa kama haridhiki na uwezo wako... Inamaana huoni kama hicho ni kipimo tosha cha mtu anaekupenda kweli? Je tuchukulie umepata ajali na umeparalaizi kiunoni hadi miguuni ni kumaanisha kwamba hapo hutokuwa na mke sasa
 
Watoto wenyewe ninao2,solution ya kuwa namishipa miembamba ya uume ndio nahangaika kujua nin solution ya kufanya mishipa itanuke yauume iwe mikubwa kuweza kuruhusu damu ifike nyingi
Yaani wewe hadi watoto Mungu kakubariki kwNini uhangaike na ya dunia ya kumridhisha mtu?? Mie hata sikuelewi kwakweli...
 
Huumwi kimaumbile unaumwa kisaikolojia hebu kaa na mwenza wako mueleze kwa uwazi na yeye ndie awe daktari wa hili tatizo nakuhakikishia unakuwa sawa.
Mpe jukumu la kukutibu mwenza wako.
Kwa jinsi alivyosema hapo juu kuwa mwenza wake anataka vya dk 15 hapo ndo anamtia hofu mumewe ..mwe mie sitak kujiharibu mwili kisa nimridhishe mtu...tatizo mke analikuza .hajui anaweza fika kutumia vidole saaafi kabisa😋
 
Mkuu nimke tayar sio mchumba nimke wamika8 ktk ndoa
 
Nikweli kabisa
 
Ndo nataka kujua tiba mbadala yakutanua mishipa iyo iliyo miembamba yakwenye uume inayohusika nakuleta damu
Tumia castor oil, nyunyuzia kwenye pamba, kisha zungushia hiyo pamba kwenye uume, cover material ya plastic ibane vizuri mafuta yasivuje kutoka nje na kuchafua nguo au kitanda kwa sababu ni mafuta yanayopenya sana, fanya hivyo kila siku ukiingia kulala mpaka utakapoona nafuu

Sent from my CPH2185 using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…