Selected by gods
Senior Member
- Dec 23, 2022
- 140
- 321
Ushawahi tumia congo dust ( Vumbi la kongo)?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sjakulewa hapa...unatoa inabaki huna -Hesabu rahisi hebu nipe jibu lake ?
Unakitu 1+ na unadaiwa kitu 1- = sawa sawa na ngapi hapa ??
Hapana sjawahi tumiaUshawahi tumia congo dust ( Vumbi la kongo)?
Baaas! Shida wala sio mishipa hapo.fear is sickness!Mkuu kujiamimni nilishapoteza nahofu nyingi sana Sasa ktk kuliendea tendo...pia uko nyuma nshajitune kwakutoa hofu nakujiamini sana ila still nkawa nakua vile vile sjui nakosea wap...kuhusu goti aisee yaan lilishashindikana naweza Anza mazoezi vizur kufikia wika yatatu goti linaumaaa baada ya wiki moja linaacha ikifika wiki yatano ya mazoezi linauma zaid siwez kukimbia hata kidogo hata nijilazimishaje wapi nalazimika kuacha mazoez
Nilishakaa nae nikamuelezea kwa uwazi kabisa kuwa ndie daktar..ila anaishia kuwa anakuambia unakua namawazo yanin Sasa chukulia kawaidaHuumwi kimaumbile unaumwa kisaikolojia hebu kaa na mwenza wako mueleze kwa uwazi na yeye ndie awe daktari wa hili tatizo nakuhakikishia unakuwa sawa.
Mpe jukumu la kukutibu mwenza wako.
Tumia na lenyewe ulete mrejesho.....pia dawa za kimasai jaribu.....mkongo hautakuangushaHapana sjawahi tumia
Nimeandikwa madawa yakizungu yakutumia mwezi mmoja. Dawa zakimasai sihadi nimpate anaejua vizur na mkogo naskia humu wanasema hauna ishu sababu haukupi furaha yatendo sababu unakaa masaa mengi bila kukojoaTumia na lenyewe ulete mrejesho.....pia dawa za kimasai jaribu.....mkongo hautakuangusha
Wewe unataka hadi uume upinde kama ndizi ukisimama?Habar wakuu nimefanya vipimo juu ya tatizo langu languvu zakiume..shida imekuja kuinekana kuwa mirija yangu yakwenye uume nimiembamba haileti damu nyingi kwenye umeme ili kuweza kufanya tendo kwa ufasaha na ikibid kurudia troundi nyingine... kwaiyo daktar kasema huwa hakuna tiba nyingine zaid yakuwekewa vipandikizi ktk uume kufanya damu iflow kwa wingi kwenye uume... ili iweze kufanya uume usimame imara na uweze kufanya tendo nakuweza kurudia roud nyinge..maana ilikua kurudia round nibaada ya masaa 8.. wakuu je ninjia sahihi tiba hii ya kuwekewa vipandikizi ktk uume
Umeelewa. Sasa uki imagine umepona halafu ukaulizwa vipi hali yako au ukawa na wasiwasi na hali yako, au hali yeyote hasi katika kichwa chako, ndio kinafanya tatizo liendelee kuwepo.Sjakulewa hapa...unatoa inabaki huna -
Wangu anataka kimoja Cha mda mrefu anagalau dk15 aridhikeYaani hayo yote ili uende round nyingi!!? Kama hela unazo mbona kimoja tu wanaridhika?
Tafuta therapist mzee, uko poa tu hauna tatizo hilo unaloliwaza. Tatizo lako ni la kisaikolojia zaidi ya ki boilojia.Kufanya kwaukamilifu ndio sometime inakua yes sometimes inakua no yaan ngoma inasima ukiweka ukeni ikipampu dk2 inalala ikiwa umo humo au dk3 umekujoa kurudia baada ya masaa mengi
Therapist nampataje mwenye uwezo mkubwaTafuta therapist mzee, uko poa tu hauna tatizo hilo unaloliwaza. Tatizo lako ni la kisaikolojia zaidi ya ki boilojia.
Kama njia zote za asili zimegoma achana na habari za kuoa kama haridhiki na uwezo wako... Inamaana huoni kama hicho ni kipimo tosha cha mtu anaekupenda kweli? Je tuchukulie umepata ajali na umeparalaizi kiunoni hadi miguuni ni kumaanisha kwamba hapo hutokuwa na mke sasaWangu anataka kimoja Cha mda mrefu anagalau dk15 aridhike
Yaani wewe hadi watoto Mungu kakubariki kwNini uhangaike na ya dunia ya kumridhisha mtu?? Mie hata sikuelewi kwakweli...Watoto wenyewe ninao2,solution ya kuwa namishipa miembamba ya uume ndio nahangaika kujua nin solution ya kufanya mishipa itanuke yauume iwe mikubwa kuweza kuruhusu damu ifike nyingi
Kwa jinsi alivyosema hapo juu kuwa mwenza wake anataka vya dk 15 hapo ndo anamtia hofu mumewe ..mwe mie sitak kujiharibu mwili kisa nimridhishe mtu...tatizo mke analikuza .hajui anaweza fika kutumia vidole saaafi kabisa😋Huumwi kimaumbile unaumwa kisaikolojia hebu kaa na mwenza wako mueleze kwa uwazi na yeye ndie awe daktari wa hili tatizo nakuhakikishia unakuwa sawa.
Mpe jukumu la kukutibu mwenza wako.
Mkuu nimke tayar sio mchumba nimke wamika8 ktk ndoaKama njia zote za asili zimegoma achana na habari za kuoa kama haridhiki na uwezo wako... Inamaana huoni kama hicho ni kipimo tosha cha mtu anaekupenda kweli? Je tuchukulie umepata ajali na umeparalaizi kiunoni hadi miguuni ni kumaanisha kwamba hapo hutokuwa na mke sasa
Nikweli kabisaKama njia zote za asili zimegoma achana na habari za kuoa kama haridhiki na uwezo wako... Inamaana huoni kama hicho ni kipimo tosha cha mtu anaekupenda kweli? Je tuchukulie umepata ajali na umeparalaizi kiunoni hadi miguuni ni kumaanisha kwamba hapo hutokuwa na mke sasa
Tumia castor oil, nyunyuzia kwenye pamba, kisha zungushia hiyo pamba kwenye uume, cover material ya plastic ibane vizuri mafuta yasivuje kutoka nje na kuchafua nguo au kitanda kwa sababu ni mafuta yanayopenya sana, fanya hivyo kila siku ukiingia kulala mpaka utakapoona nafuuNdo nataka kujua tiba mbadala yakutanua mishipa iyo iliyo miembamba yakwenye uume inayohusika nakuleta damu