malembeka18
JF-Expert Member
- Jan 26, 2018
- 3,266
- 3,698
- Thread starter
- #261
Prolactine ikiwa nyingi au ndogo inakuajeUl
Ulipima prolactin mkuu...
Nakushauri mkuu.. Tumia tiba mbdala Kwanza..
Huko Kwenye kupandikiza huko... Subiri Kwanza
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Prolactine ikiwa nyingi au ndogo inakuajeUl
Ulipima prolactin mkuu...
Nakushauri mkuu.. Tumia tiba mbdala Kwanza..
Huko Kwenye kupandikiza huko... Subiri Kwanza
Aiseee watu mna matatizo makubwa! Una umri gani Mkuu? Mungu akufanyie wepesi!Asante ndo hivyo nimeambiwa Misha inayoleta damu kwenye uume ni miembamba inafanya damu isiwe nyingi ktk uume hivyo kusababisha uume kutosimama muda mrefu na kusex kwa mda mfupi bila kuweza kurudia round nyingine... sehemu zingine koote hakuna shida shida ni hiyo
Nina miaka36Aiseee watu mna matatizo makubwa! Una umri gani Mkuu? Mungu akufanyie wepesi!
Duuh! You are very young! Tatizo umezaliwa nalo ama?Nina miaka36
Sijui kama nimezaliwa nalo au laa maana miaka yote nasimamisha vizur uume ila siwez sex round mbili ni round moja yadk7+ au chini ya dk7 mpaka Sasa ni dk3+..so kufanya vipimo ndo kuja onekana sehemu zoote nko sawa ila mishipa nimiembambaDuuh! You are very young! Tatizo umezaliwa nalo ama?
Pole sana, utapona, fuata maelekezo ya daktari wakoSijui kama nimezaliwa nalo au laa maana miaka yote nasimamisha vizur uume ila siwez sex round mbili ni round moja yadk7+ au chini ya dk7 mpaka Sasa ni dk3+..so kufanya vipimo ndo kuja onekana sehemu zoote nko sawa ila mishipa nimiembamba
Ndo Niko ktk dozi zamwezi mzima dozi za kufanya nidelay kukojoa na kuongeza power wakat wasex niende mda mrefu labda baada ya dozi ntazoea Hali yakwenda mda mrefu hofu uwoga wasiwasi utaondoka nakuniweke comfidence na Hali yakujiamin zaidPole sana, utapona, fuata maelekezo ya daktari wako
Okay, pia kula mlo kamili, acha pombe na sigara, fanya mazoezi, kunywa tangawizi kali ambayo sukari yake weka asali.Ndo Niko ktk dozi zamwezi mzima dozi za kufanya nidelay kukojoa na kuongeza power wakat wasex niende mda mrefu labda baada ya dozi ntazoea Hali yakwenda mda mrefu hofu uwoga wasiwasi utaondoka nakuniweke comfidence na Hali yakujiamin zaid
Fanya hayo mazoezi haswa la kwanza na la pili ndiyo uanze nayo, usianze kwa fujo ni mdogomdogo mpaka ukichanganya na kuweza kufanya mengi zaidi. Ukiyamudu hayo mawili ya kwanzs ndiyo uendelee na mengine.Yakoje mazoezi ya kegel
Sinywi pombe sivuti sigaraOkay, pia kula mlo kamili, acha pombe na sigara, fanya mazoezi, kunywa tangawizi kali ambayo sukari yake weka asali.
Vip tangawizi kwa vidonda vya tumbo vinafaa auOkay, pia kula mlo kamili, acha pombe na sigara, fanya mazoezi, kunywa tangawizi kali ambayo sukari yake weka asali.
Kumbe una ulcers?Vip tangawizi kwa vidonda vya tumbo vinafaa au
Una wahi kufika kileleni mapema ndani ya sekunde 60..Prolactine ikiwa nyingi au ndogo inakuaje
Mike sio sekunde 60Una wahi kufika kileleni mapema ndani ya sekunde 60..
Misio sekunde60 ni dk3Una wahi kufika kileleni mapema ndani ya sekunde 60..
Prolactine ni muhimu sana mkuu ikiwa nyingi au chache hiyo, uume husimama kwa ulegevu sana. Na uta ejaculate within a 60 second 😭😭😭.Prolactine sikupimwa..tiba mbadala kama ipi
Mim Sasa nimeambiwa mshipa wamboo unaoleta damu ktk mboo nimwembamba so damu haiji nyingi sababu ya uwembamba wa mfupaProlactine ni muhimu sana mkuu ikiwa nyingi au chache hiyo, uume husimama kwa ulegevu sana. Na uta ejaculate within a 60 second [emoji24][emoji24][emoji24].
OK pole sana mkuuMim Sasa nimeambiwa mshipa wamboo unaoleta damu ktk mboo nimwembamba so damu haiji nyingi sababu ya uwembamba wa mfupa
Asante...hiyo dawa niyaninOK pole sana mkuu