Natakiwa kuwekewa vipandikizi kwenye uume, mirija ni miembamba haipitishi damu nyingi

Natakiwa kuwekewa vipandikizi kwenye uume, mirija ni miembamba haipitishi damu nyingi

Asante ndo hivyo nimeambiwa Misha inayoleta damu kwenye uume ni miembamba inafanya damu isiwe nyingi ktk uume hivyo kusababisha uume kutosimama muda mrefu na kusex kwa mda mfupi bila kuweza kurudia round nyingine... sehemu zingine koote hakuna shida shida ni hiyo
Aiseee watu mna matatizo makubwa! Una umri gani Mkuu? Mungu akufanyie wepesi!
 
Duuh! You are very young! Tatizo umezaliwa nalo ama?
Sijui kama nimezaliwa nalo au laa maana miaka yote nasimamisha vizur uume ila siwez sex round mbili ni round moja yadk7+ au chini ya dk7 mpaka Sasa ni dk3+..so kufanya vipimo ndo kuja onekana sehemu zoote nko sawa ila mishipa nimiembamba
 
Pole sana, utapona, fuata maelekezo ya daktari wako
 
Pole sana, utapona, fuata maelekezo ya daktari wako
Ndo Niko ktk dozi zamwezi mzima dozi za kufanya nidelay kukojoa na kuongeza power wakat wasex niende mda mrefu labda baada ya dozi ntazoea Hali yakwenda mda mrefu hofu uwoga wasiwasi utaondoka nakuniweke comfidence na Hali yakujiamin zaid
 
Okay, pia kula mlo kamili, acha pombe na sigara, fanya mazoezi, kunywa tangawizi kali ambayo sukari yake weka asali.
 
Yakoje mazoezi ya kegel
Fanya hayo mazoezi haswa la kwanza na la pili ndiyo uanze nayo, usianze kwa fujo ni mdogomdogo mpaka ukichanganya na kuweza kufanya mengi zaidi. Ukiyamudu hayo mawili ya kwanzs ndiyo uendelee na mengine.

Pia pendelea kula vyakula vyenye kuongeza homoni ya testeroini kwa sana. Na hakikisha upo sawa kiakili kabla ya tendo lenyewe
 
Attachments

  • VID-20200428-WA0001.mp4
    21.9 MB
Prolactine ni muhimu sana mkuu ikiwa nyingi au chache hiyo, uume husimama kwa ulegevu sana. Na uta ejaculate within a 60 second [emoji24][emoji24][emoji24].
Mim Sasa nimeambiwa mshipa wamboo unaoleta damu ktk mboo nimwembamba so damu haiji nyingi sababu ya uwembamba wa mfupa
 
images (6).jpeg

Itafute hiyo dawa popote ilipo. Iko vizuri
 
Back
Top Bottom