Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
MpeYani full tafrani home, ana wiki ya pili sasa yani nimeshamchoka huyu ndugu, kafika home kututembelea lakini full kutupangia ratiba za kuamka , leo kaamka mapema kaanza kutia makelele amkeni amkeni
Usafi mtafanya SAA ngapi? Wakati sisi tuna ratiba zetu za usafi, kila mtu akiamka ana kazi yake ya kufanya. Hadi jinsi ya kuvaa nguo anatupangia,yeye muislam anataka wote tuvae minguo mirefu kha hapana!!! kwakweli natamani aondoke ata kesho ana kazi ya kusemana tu, hadi kufatilia jikoni jinsi unavyopika..."
Jana kaniita akidai ana shida anataka tuzungumze nikamwambia sawa, mada yenyewe sasa ni kuhusu mavazi yangu ety nisivae suruali" Leo nimevaa sketi ndefu ananambia napenda uwe unavaa hivi kila siku!!! kwani mimi ni mtawa wa st fransis.
Amini mzee Hadi Wazungu Kuna wamarekani Wanakujaga Nyumbani ni marafiki zake na Baba wakifika wanaanza kupanga Hadi muda wa kulaHivi haya mambo ni Africa tu au hata wazungu wanayo?
Atakua anakaa kwao alileta thread ana viziwa vidogo akivaa braa anaumia na mama anamkataza kuvaa suruali, possible huyo mgeni ni bibi au shangaziHapo ni kwqko au kwenu? Jibu kwanza hili swali