Natamani aende kwao tu....

Natamani aende kwao tu....

Yani full tafrani home, ana wiki ya pili sasa yani nimeshamchoka huyu ndugu, kafika home kututembelea lakini full kutupangia ratiba za kuamka , leo kaamka mapema kaanza kutia makelele amkeni amkeni

Usafi mtafanya SAA ngapi? Wakati sisi tuna ratiba zetu za usafi, kila mtu akiamka ana kazi yake ya kufanya. Hadi jinsi ya kuvaa nguo anatupangia,yeye muislam anataka wote tuvae minguo mirefu kha hapana!!! kwakweli natamani aondoke ata kesho ana kazi ya kusemana tu, hadi kufatilia jikoni jinsi unavyopika..."

Jana kaniita akidai ana shida anataka tuzungumze nikamwambia sawa, mada yenyewe sasa ni kuhusu mavazi yangu ety nisivae suruali" Leo nimevaa sketi ndefu ananambia napenda uwe unavaa hivi kila siku!!! kwani mimi ni mtawa wa st fransis.
Mpe
 
Hapo ni kwqko au kwenu? Jibu kwanza hili swali
Atakua anakaa kwao alileta thread ana viziwa vidogo akivaa braa anaumia na mama anamkataza kuvaa suruali, possible huyo mgeni ni bibi au shangazi
 
Aende kwake akajipangie mgeni na kuwapangia wwnye nyumba ratiba panya rodi huyoo
 
Back
Top Bottom