Natamani Dar ipate skyline kama miji hii ya Asia in the next 10 years

Traxtion

JF-Expert Member
Joined
Dec 10, 2021
Posts
8,000
Reaction score
16,414
Majiji kama Dar yanapopata investment kubwa na kutangazwa vya kutoshaa, more people wanaanzisha companies, businesses nk ambapo watajenga offices, apartments, malls, hotels, supermarkets nk

Wanavyojenga hivi vitu watu wengi wanapata ajira, lakini pia skyline ya jiji inabadilika
Kama Dar ikipata investment ya kutosha na kubadili skyline yake natamani ifikie miji ifuatayo ya Asia kwa miaka 10 ijayo
Yani jinsi hii miji inavyoonekana sasa ndio Dar iwe hivyo miaka 10 ijayo

1. Kuala Lumpur, Malaysia
Malaysia-Kuala-Lumpur.jpg
Screenshot_20260409-194355.png

2. Jakarta, Indonesia
Jakarta_Rizky-Maharani_Wikimedia-Commons.jpg
ad879e55-city-22380-17ea1cf2107.jpg

3. Bangkok, Thailand
Best-areas-to-stay-in-Bangkok-neighborhood-guide.jpg
bangkok-thailand-dec-07-2018-the-view-of-bangkok-city-from-king-power-mahanakhon-building-skys...jpg

4. Manila, Philippines
Manila.jpg
iStock-1499946057-2-HEADER_MOBILE.webp

Kwa sasa skyline ya Dar bado iko hivi. I hope it will change fast
Screenshot_20260325-123954.png
Screenshot_20260325-124206.png
Screenshot_20260325-124304.png
Screenshot_20260325-124325.png
 
Majiji kama Dar yanapopata investment kubwa na kutangazwa vya kutoshaa, more people wanaanzisha companies, businesses nk ambapo watajenga offices, apartments, malls, hotels, supermarkets nk
Wanavyojenga hivi vitu watu wengi wanapata ajira, lakini pia skyline ya jiji inabadilika
Kama Dar ikipata investment ya kutosha na kubadili skyline yake natamani ifikie miji ifuatayo ya Asia kwa miaka 10 ijayo
Yani jinsi hii miji inavyoonekana sasa ndio Dar iwe hivyo miaka 10 ijayo

1. Kuala Lumpur, Malaysia
View attachment 3570137View attachment 3570138

2. Jakarta, Indonesia
View attachment 3570139View attachment 3570140

3. Bangkok, Thailand
View attachment 3570141View attachment 3570143

4. Manila, Philippines
View attachment 3570144View attachment 3570145

Kwa sasa skyline ya Dar bado iko hivi. I hope it will change fast
View attachment 3570146View attachment 3570147View attachment 3570148View attachment 3570149
TZ hakuna matajiri na waliopo nao ni wezi tu
 
Naomba kufahamishwa zaidi kuhusu eneo hili nililozungushia.
Screenshot_20260409-201711.png
 
Tanzania inatakiwa tu deal na skyline ya maisha ya wananchi kwanza kabla ya kuhamia kwenye majengo.
Serikali ndio ina jukumu la kuboresha maisha ya wananchi
Mimi ninaongelea ukuaji wa haraka wa mji, ambao mara nyingi unachangiwa na growth of private sector, sio serikali pekee
Jukumu la serikali ni kutengeneza mazingira mazuri ya kuongeza investment, then private sectors zitafurika
With that in mind, uelewe sisemi serikali iache kuhudumia wananchi ijenge majengo. Kila jengo linajengwa kwa purpose, na kila jengo linaingiza faida, unless kama ulijenga kwa show off
 
Kwa mentaliti ya Ccm ya akina WASIRA hawezekaniii kabisaa toa hicho kwenye maind yako
Majiji kama Dar yanapopata investment kubwa na kutangazwa vya kutoshaa, more people wanaanzisha companies, businesses nk ambapo watajenga offices, apartments, malls, hotels, supermarkets nk

Wanavyojenga hivi vitu watu wengi wanapata ajira, lakini pia skyline ya jiji inabadilika
Kama Dar ikipata investment ya kutosha na kubadili skyline yake natamani ifikie miji ifuatayo ya Asia kwa miaka 10 ijayo
Yani jinsi hii miji inavyoonekana sasa ndio Dar iwe hivyo miaka 10 ijayo

1. Kuala Lumpur, Malaysia
View attachment 3570137View attachment 3570138

2. Jakarta, Indonesia
View attachment 3570139View attachment 3570140

3. Bangkok, Thailand
View attachment 3570141View attachment 3570143

4. Manila, Philippines
View attachment 3570144View attachment 3570145

Kwa sasa skyline ya Dar bado iko hivi. I hope it will change fast
View attachment 3570146View attachment 3570147View attachment 3570148View attachment 3570149
 
Majiji kama Dar yanapopata investment kubwa na kutangazwa vya kutoshaa, more people wanaanzisha companies, businesses nk ambapo watajenga offices, apartments, malls, hotels, supermarkets nk

Wanavyojenga hivi vitu watu wengi wanapata ajira, lakini pia skyline ya jiji inabadilika
Kama Dar ikipata investment ya kutosha na kubadili skyline yake natamani ifikie miji ifuatayo ya Asia kwa miaka 10 ijayo
Yani jinsi hii miji inavyoonekana sasa ndio Dar iwe hivyo miaka 10 ijayo

1. Kuala Lumpur, Malaysia
View attachment 3570137View attachment 3570138

2. Jakarta, Indonesia
View attachment 3570139View attachment 3570140

3. Bangkok, Thailand
View attachment 3570141View attachment 3570143

4. Manila, Philippines
View attachment 3570144View attachment 3570145

Kwa sasa skyline ya Dar bado iko hivi. I hope it will change fast
View attachment 3570146View attachment 3570147View attachment 3570148View attachment 3570149
Dar ni slum na si jiji , hilo ni zizi la nguruwe .Hamna jiji hapo .Hivi ukitumwa jiji Dar hiyo takataka yenu nayo mtaita jiji ? ,How dare you
 
As long as nchi inaongozwa na masikini wa akili ,hilo mnalowaza LA kuwa na skyline nzuri futa kabisa kwenye vichwa vyenu ,wazeni Kwanza vitu basic kama mifumo ya Maji safi na Maji taka, barabara zisizo za vumbi na mashimo wala kufurika Maji wakati wa mvua kidogo Kama mabwawa ya kufugia samaki , uchafu na uvundo takataka na harufu mbaya , Huduma za afya, public transport ya uhakika ,umeme wa uhakika vitu ambavyo ni ndoto za alinacha Dar na Tanzania kwa ujumla
 
Familia yenye baba na mama mpumbavu haiwezi kuwa na maendeleo
 
Majiji kama Dar yanapopata investment kubwa na kutangazwa vya kutoshaa, more people wanaanzisha companies, businesses nk ambapo watajenga offices, apartments, malls, hotels, supermarkets nk

Wanavyojenga hivi vitu watu wengi wanapata ajira, lakini pia skyline ya jiji inabadilika
Kama Dar ikipata investment ya kutosha na kubadili skyline yake natamani ifikie miji ifuatayo ya Asia kwa miaka 10 ijayo
Yani jinsi hii miji inavyoonekana sasa ndio Dar iwe hivyo miaka 10 ijayo

1. Kuala Lumpur, Malaysia
View attachment 3570137View attachment 3570138

2. Jakarta, Indonesia
View attachment 3570139View attachment 3570140

3. Bangkok, Thailand
View attachment 3570141View attachment 3570143

4. Manila, Philippines
View attachment 3570144View attachment 3570145

Kwa sasa skyline ya Dar bado iko hivi. I hope it will change fast
View attachment 3570146View attachment 3570147View attachment 3570148View attachment 3570149
Baada ya kuhamishia Dodoma makao makuu, Dar es Salaam imepata udumazi. Hatuwezi kufikia viwango vya majiji ya Asia. Magufuli alitukosea sana kuamua kwenda Dodoma
 
Back
Top Bottom