Natamani Dar ipate skyline kama miji hii ya Asia in the next 10 years

Hapo ni sehemu ya chuo cha udsm wanapori kubwa mpk nyani wapo, hio sheli ni tpdc(gas station) hata mlimani city wamekodishwa eneo na chuo kwa mkataba
Mlimani City kuna project wanataka kufanya kwenye hilo eneo au unamaanisha mahali ilipo Mlimani City sasahivi ni sehemu ya eneo la UDSM?
 
Mahali ilipo mlimani city ni eneo la UDSM walilukodisha kwa hao wawekezaji kwa mda wa miaka 100
 
Majiji kama Dar yanapopata investment kubwa na kutangazwa vya kutoshaa, more people wanaanzisha companies, businesses nk ambapo watajenga offices, apartments, malls, hotels, supermarkets nk

Wanavyojenga hivi vitu watu wengi wanapata ajira, lakini pia skyline ya jiji inabadilika
Kama Dar ikipata investment ya kutosha na kubadili skyline yake natamani ifikie miji ifuatayo ya Asia kwa miaka 10 ijayo
Yani jinsi hii miji inavyoonekana sasa ndio Dar iwe hivyo miaka 10 ijayo

1. Kuala Lumpur, Malaysia
View attachment 3570137View attachment 3570138

2. Jakarta, Indonesia
View attachment 3570139View attachment 3570140

3. Bangkok, Thailand
View attachment 3570141View attachment 3570143

4. Manila, Philippines
View attachment 3570144View attachment 3570145

Kwa sasa skyline ya Dar bado iko hivi. I hope it will change fast
View attachment 3570146View attachment 3570147View attachment 3570148View attachment 3570149
Endelea kutamani
 
Serikali ndio ina jukumu la kuboresha maisha ya wananchi
Mimi ninaongelea ukuaji wa haraka wa mji, ambao mara nyingi unachangiwa na growth of private sector, sio serikali pekee
Jukumu la serikali ni kutengeneza mazingira mazuri ya kuongeza investment, then private sectors zitafurika
With that in mind, uelewe sisemi serikali iache kuhudumia wananchi ijenge majengo. Kila jengo linajengwa kwa purpose, na kila jengo linaingiza faida, unless kama ulijenga kwa show off
Hata hiyo private sector mkuu haijui majengo marefu Tz ni mifuko ya jamii
 
Majiji kama Dar yanapopata investment kubwa na kutangazwa vya kutoshaa, more people wanaanzisha companies, businesses nk ambapo watajenga offices, apartments, malls, hotels, supermarkets nk

Wanavyojenga hivi vitu watu wengi wanapata ajira, lakini pia skyline ya jiji inabadilika
Kama Dar ikipata investment ya kutosha na kubadili skyline yake natamani ifikie miji ifuatayo ya Asia kwa miaka 10 ijayo
Yani jinsi hii miji inavyoonekana sasa ndio Dar iwe hivyo miaka 10 ijayo

1. Kuala Lumpur, Malaysia
View attachment 3570137View attachment 3570138

2. Jakarta, Indonesia
View attachment 3570139View attachment 3570140

3. Bangkok, Thailand
View attachment 3570141View attachment 3570143

4. Manila, Philippines
View attachment 3570144View attachment 3570145

Kwa sasa skyline ya Dar bado iko hivi. I hope it will change fast
View attachment 3570146View attachment 3570147View attachment 3570148View attachment 3570149
Majengo machache yaliyopo CBD na maeneo mengine ndani ya Dar es Salaam yako wazi, mengi yakiwa hayatumiki na yamebaki kama ‘dead towers’. Basi, unataka tena kujenga majengo marefu zaidi kwa matumizi gani hasa?
 
Mimi sijasema Dar majengo yajengwe bila matumizi. Nimesema tukuze private sector na investments ndio majengo yajengwe

Pia ushahidi uko wapi kwamba towers nyingi Dar ziko empty?
 
Naomba kufahamishwa zaidi kuhusu eneo hili nililozungushia.View attachment 3570165
Yeyote aliyeruhusu kujengwa kwa PSSSF Tower hapo anapaswa kuchunguzwa akili zake kama zipo sawa. Jengo hilo linaonekana kama space station au alien spacecraft kutoka sayari nyingine kilichotua eneo hilo, halichanganyiki wala halina uhusiano na muktadha wa eneo husika. Ni nje kabisa ya muktadha wa upangaji miji, hizi ndoto za skyline tutaota sana.
 
Mimi sijasema Dar majengo yajengwe bila matumizi. Nimesema tukuze private sector na investments ndio majengo yajengwe

Pia ushahidi uko wapi kwamba towers nyingi Dar ziko empty?
1000387423.jpg
 
Yeyote aliyeruhusu kujengwa kwa PSSSF Tower hapo anapaswa kuchunguzwa akili zake kama zipo sawa. Jengo hilo linaonekana kama space station au alien spacecraft kutoka sayari nyingine kilichotua eneo hilo, halichanganyiki wala halina uhusiano na muktadha wa eneo husika. Ni nje kabisa ya muktadha wa upangaji miji, hizi ndoto za skyline tutaota sana.
Skyline zinabadilika in every African country's major city
Labda useme zisifikie Jakarta, Kuala Lumpur etc but skyline ya Dar won't remain the same
 
Sasa huu ndio ushahidi kwamba majengo mengi Dar yako empty?
Hiyo ni study/project iliyofanywa kwa majengo machache in Dar CBD na haimaanishi Dar haina demand ya majengo
Ingekuwa mambo yako hivi kwa hii logic yako, sasa kwa nini ujenzi wa maghorofa Dar unaendelea wakati kuna majengo empty CBD?
 
Unaona humu katikati hayo magorofa, walatino wanakwambia mtu kama wewe utakula upepo tu wakati watu humo ndio maisha yao
 
Sasa huu ndio ushahidi kwamba majengo mengi Dar yako empty?
Hiyo ni study/project iliyofanywa kwa majengo machache in Dar CBD na haimaanishi Dar haina demand ya majengo
Ingekuwa mambo yako hivi kwa hii logic yako, sasa kwa nini ujenzi wa maghorofa Dar unaendelea wakati kuna majengo empty CBD?
Leta study yako.
Unaongea issues usizozifaham hapa. Uhitaji wa majengo Dar sio justification ya kuwa na skyscrappers.
Unfortunately you know nothing about urban design,redevelopment and planning.
 
Sasa huu ndio ushahidi kwamba majengo mengi Dar yako empty?
Hiyo ni study/project iliyofanywa kwa majengo machache in Dar CBD na haimaanishi Dar haina demand ya majengo
Ingekuwa mambo yako hivi kwa hii logic yako, sasa kwa nini ujenzi wa maghorofa Dar unaendelea wakati kuna majengo empty CBD?
Ujenzi wa maghorofa Dar es Salaam unawezaje kuhalalisha uhitaji wake? Unajua itachukua miaka mingapi kujaza kikamilifu jengo kama PSSSF Tower lililopo Sinza? Kabla hujaanza kutoa hoja bila takwimu, unafahamu kuwa katika maeneo mengi ya mipango ya awali, majengo yalikuwa na ukomo wa takribani ghorofa 8 hadi 10? Nenda ukasome Dar es Salaam Master Plan iliyopo mtandaoni hizo ndoto za skyline kama za nje si rahisi kama unavyofikiria.
 
Dar es Salaam Master Plan inaonyesha kuwa hata kwenye ukuaji wa baadaye, majengo marefu (10+ storeys) yalipaswa kuwa sehemu ndogo tu (15%) ya maendeleo ya mji, Tatizo sio kujenga maghorofa tu bali ni context, demand, occupancy, na consistency ya master plan za mwanzoni.
 
Back
Top Bottom