We ni mpumbafu tu.Huna lolote unalolijua. Kila mtu JF akiongea pumba anaishia kuandika utumbo kama huu ulioandika mwishoni ili uonekane smart
Huelewi chochote unachoandika upuuzi mtupu 🚮
Kama hivyo ndivyo nani angejenga haya mapya?
View: https://www.instagram.com/reel/DWptZjLiC81/?igsh=eTk3cDl3NGlvc2Fr
Labda majengo ya serikali
Kwa hawa wabunge wenu kina salma kikwete, kijakazi, wanu n.k?!Majiji kama Dar yanapopata investment kubwa na kutangazwa vya kutoshaa, more people wanaanzisha companies, businesses nk ambapo watajenga offices, apartments, malls, hotels, supermarkets nk
Wanavyojenga hivi vitu watu wengi wanapata ajira, lakini pia skyline ya jiji inabadilika
Kama Dar ikipata investment ya kutosha na kubadili skyline yake natamani ifikie miji ifuatayo ya Asia kwa miaka 10 ijayo
Yani jinsi hii miji inavyoonekana sasa ndio Dar iwe hivyo miaka 10 ijayo
1. Kuala Lumpur, Malaysia
View attachment 3570137View attachment 3570138
2. Jakarta, Indonesia
View attachment 3570139View attachment 3570140
3. Bangkok, Thailand
View attachment 3570141View attachment 3570143
4. Manila, Philippines
View attachment 3570144View attachment 3570145
Kwa sasa skyline ya Dar bado iko hivi. I hope it will change fast
View attachment 3570146View attachment 3570147View attachment 3570148View attachment 3570149
Kuna maeneo mengi sana Dar hawajaweka barabara za watembea kwa miguu ila wameweka pavements pembeni ya barabara kwa watembea kwa miguuTunataka barabara za watembea kwa miguu Dar kama Addis Ababa, Ethiopia.
Ndio mliwajaza huko bungeni kwenye maamuziHao ni incompetent mkuu 😁😁
Mkuu,Tanzania inatakiwa tu deal na skyline ya maisha ya wananchi kwanza kabla ya kuhamia kwenye majengo.
Mimi nadhani hoja ya msingi ni uchumi wa watu na biashara kwanzaBaada ya kuhamishia Dodoma makao makuu, Dar es Salaam imepata udumazi. Hatuwezi kufikia viwango vya majiji ya Asia. Magufuli alitukosea sana kuamua kwenda Dodoma
Ndio maana yanguMkuu,
In fact maendeleo ya uchumi wa watu ndiyo yanayotengeneza demand ya kujenga hiyo skyline.
Ama sivyo utaishia kujenga majengo ya office space wakati hakuna makampuni ya kuitumia hiyo excess office space, unakuwa na maghorofa ambayo yamejengwa kwa gharama kubwa halafu hakuna anayemudu kuyalipia kodi (rent) ili madeni ya mortgage yalipwe.
Ukinyanyua uchumi wa watu, skyline nzuri itakuja yenyewe almost automatically kwa sababu economic activities zita create demand ambayo itasababisha skyline ijengeke tu.
So focusing on the skyline before focusing on the econony that will build that skyline is putting the cart before the horse.
Dar ilikuwa inakwenda vizuri mkaanza ujinga wa kuhamisha mji mkuu kwenda Dodoma bila sababu ya maana kiuchumi.
Jambo la kwanza tuanze kupanga miundombinu yetu, barabara, maji, gesi, umeme, internet alafu Ndio tuanze sasa kujenga majengoNdio tunapaswa kukuza biashara ili tufike walikofika wenzetu
Bahati mbaya ndio hatufanyiVyote vinapaswa kufanywa kwa pamoja
Tusisahahu pia kuipangalia Dar iwe livable city kama Windohek, Kigali na Addis Ababa.Ndio maana yangu
Natamani shughuli za kiuchumi zikue Dar ili demand ya high rising buildings iongezeke then mji ujengeke
Sio kwamba nataka yajengwe majengo marefu mengi bila plan, hapana
Ni vigumu sana wabongo kuelewa hili jambo, sio kipaumbele kwao.Jambo la kwanza tuanze kupanga miundombinu yetu, barabara, maji, gesi, umeme, internet alafu Ndio tuanze sasa kujenga majengo