CBD ni area yenye occupancy kubwa unataka hizo skyline wajenge Goba au Mbezi!? Anyway Topic yako inaongolea skyline.Sasa huu ndio ushahidi kwamba majengo mengi Dar yako empty?
Hiyo ni study/project iliyofanywa kwa majengo machache in Dar CBD na haimaanishi Dar haina demand ya majengo
Ingekuwa mambo yako hivi kwa hii logic yako, sasa kwa nini ujenzi wa maghorofa Dar unaendelea wakati kuna majengo empty CBD?