Natamani Dar ipate skyline kama miji hii ya Asia in the next 10 years

Natamani Dar ipate skyline kama miji hii ya Asia in the next 10 years

CCM Ikitoka Ni Haraka Tu Mambo Hayo Amini Ninalokwambia
Duh, ila sidhani kama CCM watakuja kutoka madarakani in our lifetime
Wameng'ang'ania madaraka, maana kama kungekuwa na uchaguzi halali 2025 CCM ingeshatolewa madarakani
Hata sasahivi wangeitisha uchaguzi wa haki, CCM wangetolewa madarakani
 
Majiji kama Dar yanapopata investment kubwa na kutangazwa vya kutoshaa, more people wanaanzisha companies, businesses nk ambapo watajenga offices, apartments, malls, hotels, supermarkets nk

Wanavyojenga hivi vitu watu wengi wanapata ajira, lakini pia skyline ya jiji inabadilika
Kama Dar ikipata investment ya kutosha na kubadili skyline yake natamani ifikie miji ifuatayo ya Asia kwa miaka 10 ijayo
Yani jinsi hii miji inavyoonekana sasa ndio Dar iwe hivyo miaka 10 ijayo

1. Kuala Lumpur, Malaysia
View attachment 3570137View attachment 3570138

2. Jakarta, Indonesia
View attachment 3570139View attachment 3570140

3. Bangkok, Thailand
View attachment 3570141View attachment 3570143

4. Manila, Philippines
View attachment 3570144View attachment 3570145

Kwa sasa skyline ya Dar bado iko hivi. I hope it will change fast
View attachment 3570146View attachment 3570147View attachment 3570148View attachment 3570149
Baada ya Mwendazake kufuta mradi wa Kigamboni New City basi wawekezaji wakaenda kujenga hii inaitwa Ecko Atlantic City kwenye kisiwa Cha Lagos kama ilivyo Kigamboni.

View: https://www.instagram.com/reel/DW68CZ0DWBV/?igsh=MTR6YXJmMnQ3Z3dkbQ==
 
Back
Top Bottom