Natamani kuacha kazi ya usalama wa Taifa(TISS)

Natamani kuacha kazi ya usalama wa Taifa(TISS)

Status
Not open for further replies.
Unjani sabuwona.

Wakuu nipo hapa kuwaambia huu mwaka haupiti kabla sijaacha kazi ya usalamaa wa Taifa (Tiss) maana siku baada siku iendayo kwa mungu regression point inaniwazisha.

Wakuu huu ni mwaka wa tatu tokea nipo usalama wa Taaifa ila nitaficha site yangu ya kazi because of my life nawindwa sana.

Majuto na stress kwangu haziishi japo napata pesa za kutosha na marupurupu ila peace of mind ni kitu nakosa aisee.

Nimefanya mishe kibao kwakweli nyingine ni siri siwezi weka hapa kwa sababu ya kuilinda taasisi. Wakuu hii job ni mzuri in terms of salary and allowance but ni Majuto sana.

Nawasilisha
Brother pole sana mimi yalinishinda nimehamia canada.. na wewe kama unataka kuishi hama nchi unayofanya hizo kazi la sivyo kifo kinakuhusu, utakuja kunishukuru baadae.
 
Huenda kuna mapungufu yapo ila nikiona nchi zetu za jirani zikiishi ktk hali tete ya usalama kwa miongo kadhaa ila Tanzania yetu ikiwa kisiwa cha amani inanifanya niamini kwamba taasisi yetu ndiyo imara zaidi ukanda huu na watu wetu humo wanapiga kazi sana. BIG up kwenu nyote na sisi kama wananchi wa kawaida tunawashukuru sana kwa utumishi wenu wa jasho na damu!
 
[emoji1750][emoji1750][emoji1750][emoji1750]
 
Wee uliingizwa TISS kikabila
Yaani TISS ninayoifahamu Mimi na iliyonilea ( Kimalezi ) tokea Utotoni ( Chole Road Oysterbay ) kupitia Wabobezi wake akina Marehemu Mzee Apson ( Baba Jimmy ), akina Marehemu Mzee Kuyomba, Kamalamo, Mzee kitundu, Balozi Mzee Nzagi, Mzee Christopher Nyirabu, Mzee Mkanzabi, Marehemu Mzee Simon Mohammed, Mzee Mbogo wa Mkadini Street Oysterbay, Mzee Malwelwe, Balozi Zoka na aliyekuwa Principal wa Chuo Chao Malindi Mzanaki Mwenzangu Mzee 'Brazameni' Wandiba na Wengineo kadhaa iajiri kweli Pumbavu na Punguwani Mwandamizi kama huyu Lumumbashi anayetupotezea muda Wetu hapa?
 
REMEMBER THAT , ONLY DEATH. WILL REMOVE YOU FROM THIS INSTITUTE , CASE STUDY NI ILE. MOVIE ILIYOTOKEA KULE MOSHI KWA YULE YUULEEEE ALIYEMIMINIWA. MIRISASI MCHANA KWEUPE AKIWA PAMOJA NA MKEWE NDANI YA GARI......IN THOSE PAST YEARS.........




HINTS : UNGEDIRIKI KUWEKA ID (ILEE YA UZEE HAPA JF , UNGEFYUKUNULIWA HATA MWAKA KABLA HAUJAISHA!)
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom