Natamani kuacha kazi ya usalama wa Taifa(TISS)

Status
Not open for further replies.
na kama ataendelea kupost nyuzi za hivi kuchafua kazi za watu, mmh.
na alivyo popoma, anaweka namba za simu et atumiwe hela ahahah huyu atakuja kutumiwa combola, na hapo ndipo atajua maana ya TISS
Walah na afadhali sikua Moderator maan nahis hadi mim siku moja ningejipiga ban walah
 
We ni psychopath mkubwa? Mimi mbona ninayo maendeleo? Hao vijana wenzako wakiniiga mmepotea
Uandishi wa mtu humu JF unasadifu akili yako na mazingira yako.
Tuangalie na psychopath na nani ana Derealization Disorder
 
Siwezi andika hapa naogopa ulinzi waaliyeacha na Mimi nisipate shida ila kama unaweza kuacha acha ila hiyo sahau Kwa maana ni hadi waamue wao hiyo kazi sio rahisi unavyodhani yaani ni kazi tu hizi zakawaida ndio unaweza acha
 
Unjani sabuwona.

Wakuu nipo hapa kuwaambia huu mwaka haupiti kabla sijaacha kazi ya usalamaa wa Taifa (Tiss) maana siku baada siku iendayo kwa mungu regression point inaniwazisha.

Wakuu huu ni mwaka wa tatu tokea nipo usalama wa Taaifa ila nitaficha site yangu ya kazi because of my life nawindwa sana.

Majuto na stress kwangu haziishi japo napata pesa za kutosha na marupurupu ila peace of mind ni kitu nakosa aisee.

Nimefanya mishe kibao kwakweli nyingine ni siri siwezi weka hapa kwa 0sababu ya kuilinda taasisi.Wakuu hii job ni mzuri interm of salary and allowance but ni Maputo sana.

Mnakumbukwa kutekwq kwa msaani fulani maarufu wa jimbo za kiharakati?tajiri maalufu je? Yule kada wa chadema mbeya ? Si mnakumbuka? I was among folks who involved kwenye ile mishe aisee na nyingi nyinginezo hii kazi task sio poa aisee

Nawasilisha mods msifute huu uzi tafadhali
Huu uzi 100% ni uongo namna tiss wanavyopewa zile device zao zinazofanana na simu na kupewa mashart flan juu yake (siwezi kuyataja hapa) huwezi andika huu uchokoraa wasikujue maana huacha alama ya tracking na tracing kumbuka kanuni yao kuu Kati ya nyingi (mbele ya mtu kuna mtu na nyuma ya mtu kuna mtu)
 
Uchokoraa like wise

[emoji23][emoji23][emoji23] mtu mmoja hawezi kushiriki hizo OP zote ndani ya miaka 3

Pole saana kwa stress za kukosa nafasi tiss kitu ambacho kimefanya uwachukie mm mwenyewe nachukia jeshi letu hili dhaifu baada ya jamaa wa ikulu kushindwa kunipeleka MSATA nikale kozi ya ajira JW [emoji24][emoji24]
Kipindi cha Bashite inawezekana
 
Unjani sabuwona.

Wakuu nipo hapa kuwaambia huu mwaka haupiti kabla sijaacha kazi ya usalamaa wa Taifa (Tiss) maana siku baada siku iendayo kwa mungu regression point inaniwazisha.

Wakuu huu ni mwaka wa tatu tokea nipo usalama wa Taaifa ila nitaficha site yangu ya kazi because of my life nawindwa sana.

Majuto na stress kwangu haziishi japo napata pesa za kutosha na marupurupu ila peace of mind ni kitu nakosa aisee.

Nimefanya mishe kibao kwakweli nyingine ni siri siwezi weka hapa kwa sababu ya kuilinda taasisi. Wakuu hii job ni mzuri in terms of salary and allowance but ni Majuto sana.

Nawasilisha
Acha ujinga ndugu hakuna usalama taifa mwenye akili ndogo Kama yako,,be care nakuambia kama umeshiba laal
 
Kama mtu wa mochwari haogopi kazi yake, kwa nini wewe uogope kazi yako?
 
Unjani sabuwona.

Wakuu nipo hapa kuwaambia huu mwaka haupiti kabla sijaacha kazi ya usalamaa wa Taifa (Tiss) maana siku baada siku iendayo kwa mungu regression point inaniwazisha.

Wakuu huu ni mwaka wa tatu tokea nipo usalama wa Taaifa ila nitaficha site yangu ya kazi because of my life nawindwa sana.

Majuto na stress kwangu haziishi japo napata pesa za kutosha na marupurupu ila peace of mind ni kitu nakosa aisee.

Nimefanya mishe kibao kwakweli nyingine ni siri siwezi weka hapa kwa sababu ya kuilinda taasisi. Wakuu hii job ni mzuri in terms of salary and allowance but ni Majuto sana.

Nawasilisha

Huwezi kuwa Tiss wewe....!!!
Btw kama nikufahamika, huchukui round...!!
Si ulifunga ndoa na Adelina Kimambo bhana[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Unjani sabuwona.

Wakuu nipo hapa kuwaambia huu mwaka haupiti kabla sijaacha kazi ya usalamaa wa Taifa (Tiss) maana siku baada siku iendayo kwa mungu regression point inaniwazisha.

Wakuu huu ni mwaka wa tatu tokea nipo usalama wa Taaifa ila nitaficha site yangu ya kazi because of my life nawindwa sana.

Majuto na stress kwangu haziishi japo napata pesa za kutosha na marupurupu ila peace of mind ni kitu nakosa aisee.

Nimefanya mishe kibao kwakweli nyingine ni siri siwezi weka hapa kwa sababu ya kuilinda taasisi. Wakuu hii job ni mzuri in terms of salary and allowance but ni Majuto sana.

Nawasilisha
Tangazo limekaa utamu sana natumaini huko Pm wananzengo soon watajaa
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom