Natamani kuacha kazi ya usalama wa Taifa(TISS)

Natamani kuacha kazi ya usalama wa Taifa(TISS)

Status
Not open for further replies.
Ndugu yangu nina jambo la kukuambia.

Mpaka sasa TISS wamekwama kudambua majina behind pen names za hapa JF. Lengo na madhumuni ni kuwanasa wale wanaoikosoa serikali kwa sababu viapo vya TISS ni LAZIMA awe sawa na CCM. Hivyo yeyote anayepinga hicho chama anampinga Rais ambaye ndiye sponsor wa Taasisi. Na kwa sababu kiapo ni kumserve sponsor kama kipaumbele cha kwanza kabla ya nchi, inaonekana ni hatari sana kwa sponsor kusemwa na kukosolewa mitandaoni. Kiufupi TISS ndo wanatumika kufanikia yote hayo.

Hii mbinu ya kuwaalika watu wakuonee huruma kisha wakufuate PM ukiwatega kwa kuomba ushauri ni mbinu hovyo sana.

Lakini fahamu kuwa siyo UT wote ambao wana akili kama zako. Wapo wanaotambua kuwa nchi na wananchi ndo kwanza kisha mengine baadaye. Ingawa wanauawa makumi kwa makumi lakini ipo siku nchi itakombolewa na kila mtu ataishi kwa kujoamini ndani ya nchi yake tofauti na sasa ambapo lazima uoneshe utii kwa mafisi.

Jambo la mwisho. Mtanzania asiyefahamu namna TISS kimuundo na ajira hakika atanasa kirahisi na mtawwokota wengi.

Ushauri wangu ni kuwa huu uzi ufutwe hauna nia njema
20221119_182148.jpg

This thisi TISS
 
Yani huu ndo uandishi wa mtu wa Tiss? Rubish kabisa!
Wapo wengine ni weupe kabisa kichwani. Niliwahi kukutana nao kama watatu hivi. Yaani nilibaki nimeduwaa kwa utendaji mbovu namna ile. Hata mimi "layman" nilijiona nina akili kubwa kuliko yale maboya niliyokutana nayo.
 
Hata Snowden alitema nyongo baada ya kuona Kuna mambo hayako sawa tuacheni unafki
Wabongo sijuinwakoje yan....badala ya kumsifu mtoa mada yanamgeuka tena...inamaana yanapenda kuendelea kutekwa na kuuliwa kwa kuipinga CCM??
Kwa aina hii ya watanzania CCM itakuwepo mpaka mwaka 3700
 
Wapo wengine ni weupe kabisa kichwani. Niliwahi kukutana nao kama watatu hivi. Yaani nilibaki nimeduwaa kwa utendaji mbovu namna ile. Hata mimi "layman" nilijiona nina akili kubwa kuliko yale maboya niliyokutana nayo.
We ni mweusi kichwani kuzidi your mother's womb?
 
Wabongo sijuinwakoje yan....badala ya kumsifu mtoa mada yanamgeuka tena...inamaana yanapenda kuendelea kutekwa na kuuliwa kwa kuipinga CCM??
Kwa aina hii ya watanzania CCM itakuwepo mpaka mwaka 3700
Hivi kuna watu wachawi kuwazidi waTanzania? Magreater thinkers wanyoko
 
Unjani sabuwona.

Wakuu nipo hapa kuwaambia huu mwaka haupiti kabla sijaacha kazi ya usalamaa wa Taifa (Tiss) maana siku baada siku iendayo kwa mungu regression point inaniwazisha.

Wakuu huu ni mwaka wa tatu tokea nipo usalama wa Taaifa ila nitaficha site yangu ya kazi because of my life nawindwa sana.

Majuto na stress kwangu haziishi japo napata pesa za kutosha na marupurupu ila peace of mind ni kitu nakosa aisee.

Nimefanya mishe kibao kwakweli nyingine ni siri siwezi weka hapa kwa sababu ya kuilinda taasisi. Wakuu hii job ni mzuri in terms of salary and allowance but ni Majuto sana.

Nawasilisha
Labda Tiss ya Nyokoo Siyo Tiss hii Usalama wa Taifa. Ni job fulani hivi Amazing yaani full confidence Good life Matarajio kibao Kama fitina zipo kila Idara . Halafu unajua hakuna Afisa wa Tiss anakialia Mitandaoni. Hivi unaelewa maana ya watu wa System au unaropoka tu. Mimi huwa muda wote nawapongeza tu .
 
Ume bleed leo?
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom