Natamani kuacha kazi ya usalama wa Taifa(TISS)

Natamani kuacha kazi ya usalama wa Taifa(TISS)

Status
Not open for further replies.
We mkamatishe huyo jobless mwenzako kwa kumchoresha tu
Namba yako hiyo hapo, rudi facebook hapa siyo mahala pako.

Screenshot_2022-11-27-17-39-56-154-edit_com.quoord.jamiiforums.activity.jpg
 
Ewe ndugu yangu Ayoub Chengula kwa nini unajidhalilisha mitandaoni, ndugu zako unatupa tabu huku kijijini.
 
Kama Wewe ni TISS Agent kweli basi ulikuwa wrong recruited huko Idarani Kwani ukipitia tu hiki Ulichokiandika hapa utagundua hauna Akili na kama huna Akili pia huwezi kuwa Analytical kwa Hoja zako halafu huna Maadili ya Kiapo chako.

Na kwa Saikolojia yangu Kali na iliyotukuka nimegundua pia kuwa you might be suffering from a Maniac Bipolar hivyo nashauri wahi Milembe Mental Hospital Dodoma au Lutindi Mental Hospital Tanga ukaanze Tiba yako ya awali kabla haijawa Hatari zaidi.
Niko involuntary admitted hapa mwananyamala! We ni mbwa
 
Siyo TISS huyu, ni kibaka tu anayetafuta attention humu! TISS wana miiko yao, hawawezi kuja kuropoka humu! Hawa ni magenge ya wavuta bangi tu!
Bora ya wavuta bangi kuliko TISS, hao TISS ni unprofessional chawa waliojazwa propaganda na kupewa silaha, wamegeuzwa walinzi wa utawala wa CCM na kusahau majukumu yao
 
Unjani sabuwona.

Wakuu nipo hapa kuwaambia huu mwaka haupiti kabla sijaacha kazi ya usalamaa wa Taifa (Tiss) maana siku baada siku iendayo kwa mungu regression point inaniwazisha.

Wakuu huu ni mwaka wa tatu tokea nipo usalama wa Taaifa ila nitaficha site yangu ya kazi because of my life nawindwa sana.

Majuto na stress kwangu haziishi japo napata pesa za kutosha na marupurupu ila peace of mind ni kitu nakosa aisee.

Nimefanya mishe kibao kwakweli nyingine ni siri siwezi weka hapa kwa sababu ya kuilinda taasisi. Wakuu hii job ni mzuri in terms of salary and allowance but ni Majuto sana.

Nawasilisha
Mi nimekuelewa sana Mkuu. Najua hali unayopitia si ya kawaida, Pole sana.
 
Nyie ndie wale mnaowatekaga wapinzani na kuwayeyusha ktk uso wa dunia, Damu zao zinawasumbua sasa. pole mkuu tubia then move on na maisha mengine
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom