Artifact Collector
JF-Expert Member
- Mar 7, 2019
- 6,617
- 10,205
Mkuu TISS hawaangalii uwezo wa akili Kama wangekua wanaangalia uwezo wa akili Tanzania isingekua nchi maskini baada ya miaka 60nna jamaa yangu alikuwa kwenye jeshi (sijataja jeshi gani) badae akaanza tambo kama zako kuwa kaacha jeshini kaingia usalama
kila siku wimbo wake ukawa huo, mara aniambie mzee flani ni usalama yaani stori zake ni kuhusu usalama basi mie sijawahi kuwa interested
majuzi kati akawa na shida na 100k nikamjibu tiss wa wapi huna koneksheni ya kupata 100k. mimi siba hela
ikabidi afunguke anatafuta 500k akahonge apate kazi flani serikalini hivyo nimsaidie bado nikagoma wewe (yeye ) ni TISS na amewahi nambia ivo kwa nini ahangaike badala ya ofisi kumfanyia wepesi
aliikosa ile kazi, badae nikamwambia kilicho mponza ni kujifanya TISS badala ya kusema ukweli asaidiwe
akafunguka alifukuzwa kwenye hilo jeshi mapema mwaka huu ko anatafuta namna kuingia serikalini
acheni kuigiza mko TISS wakati uwezo wenu wa akili unawashtaki
Ili uwe TISS Tanzania kuwa kada wa ccm na jua kuwa chawa wa viongozi ccm technically tayari wewe ni TISS