Natamani kuacha kazi ya usalama wa Taifa(TISS)

Natamani kuacha kazi ya usalama wa Taifa(TISS)

Status
Not open for further replies.
Unjani sabuwona.

Wakuu nipo hapa kuwaambia huu mwaka haupiti kabla sijaacha kazi ya usalamaa wa Taifa (Tiss) maana siku baada siku iendayo kwa mungu regression point inaniwazisha.

Wakuu huu ni mwaka wa tatu tokea nipo usalama wa Taaifa ila nitaficha site yangu ya kazi because of my life nawindwa sana.

Majuto na stress kwangu haziishi japo napata pesa za kutosha na marupurupu ila peace of mind ni kitu nakosa aisee.

Nimefanya mishe kibao kwakweli nyingine ni siri siwezi weka hapa kwa sababu ya kuilinda taasisi. Wakuu hii job ni mzuri in terms of salary and allowance but ni Majuto sana.

Nawasilisha
Si muliwaua akina ben sanane na damu yao inawalilia
 
Labda Tiss ya Nyokoo Siyo Tiss hii Usalama wa Taifa. Ni job fulani hivi Amazing yaani full confidence Good life Matarajio kibao Kama fitina zipo kila Idara . Halafu unajua hakuna Afisa wa Tiss anakialia Mitandaoni. Hivi unaelewa maana ya watu wa System au unaropoka tu. Mimi huwa muda wote nawapongeza tu .
Unawapongeza kwa kazi ipi ya maana walifanya.rushwa kila sehemu,maliasili yanatoroshwa kila siku na wao wpo wapo tu
 
Kama kweli wewe unafanya kazi hiyo Nina uhakika wa asilimia zaidi ya 90, wewe ni miongoni mwa wale vijana kutoka JKT waliojenga ukuta, ikulu, uwanja kule morogoro then mkasombwa Kama mahindi kupelekwa Kozi. Hauna sifa ya kuwa hapo ila ujenzi ulikubeba na kujikuta unafanya kazi isiyo na uhusiano na wewe.
 
Wabongo sijuinwakoje yan....badala ya kumsifu mtoa mada yanamgeuka tena...inamaana yanapenda kuendelea kutekwa na kuuliwa kwa kuipinga CCM??
Kwa aina hii ya watanzania CCM itakuwepo mpaka mwaka 3700
Tanzania Kuna mtaji Mkubwa wa wajinga ukweli uko wazi TISS wako bize kupambana na wapinzani wa ccm na sio maslai ya Tanzania
 
Damu ina mdomo?
Hata mshahara wa kwanza bado tayari unavimba hivyo kijana?

Bado haujakaa... Kiti chako hakipo... Acha ujinga ujinga huu wa kujikweza kipuuzi.

It's high time to live in your reality now... Otherwise utarudi kwenye vijiwe vyako vya udalali... Nipo nimekaa paleee..
 
Peace of mind
regretting
kama unaua watu. Unaweza kujuta and I know most of Tiss wanaotumika kuua watu ni wale ambao hamna vyeo vya maana

so kiroho lazima uandamwe na kukosa Furaha ya Maisha
 
Aisee huyu ni jini mahaba walah
na kama ataendelea kupost nyuzi za hivi kuchafua kazi za watu, mmh.
na alivyo popoma, anaweka namba za simu et atumiwe hela ahahah huyu atakuja kutumiwa combola, na hapo ndipo atajua maana ya TISS
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom