Natamani kubeba mimba niwe mwanaume wa kwanza Afrika

Natamani kubeba mimba niwe mwanaume wa kwanza Afrika

sasa naanza kuconect dot.... maana kuna siku ulileta uzi kuwa mganga alifyeka kichwa cha mgegedo wako
na hapo ulipo mgegedo hauna kichwa

sasa naanza kupata wasiwasi hata mgegedo ulijikata mwenyewe ili kutimiza azma yako ya kuwa jike.... mungu nusuru kizazi chako

uzi wake wenyewe huu hapa chini

Tohara ilivyonisababishia kilema
 
Hizi siyo dalili nzuri hata kidogo kwa mwanaume...

Ushawauliza lakini hao wanawake hizo mimba wanaingiziwaje?


Cc: mahondaw
 
hivi kweli waafrika tumefikia hapa...... toka uliporusha hujasex 9yrs.....nilianza kuwa na hofu na wewe.....una vijinasaba vya kiiike......... nna hakika kuna siku hapa utasema umepata basha......
 
Aisee acha kujitoa akili mkuu, bado tupo Tanzania, Mimi natamani kumpa msichana mimba lakini nashindwa kwa huu ujobless wewe ndio unatamani yasiyowezekana!
 
Back
Top Bottom