Son of Gamba
JF-Expert Member
- Oct 26, 2012
- 4,720
- 6,957
Mkuu MILL8 unataka kuwa kama Thomas Beatie, yeye alibeba mimba yake ya kwanza mwaka 2008 na sasa hivi ana watoto watatu. Wewe unataka kubeba mimba mara ngapi mkuu?
Picha ya kwanza kushoto ni Thomas Beatie akiwa na mimba yake ya kwanza na picha ya pili kulia akiwa na mtoto wake wa kwanza.
Lakini huyu alizaliwa kama "mwanamke" akiwa na "Uke" na "tumbo la uzazi" sema alijibadilisha na kuwekewa "uume" na kuwa kama mwanaume, isipokuwa "uke" wake haukuondolewa ndiyo maana aliweza kubeba mimba pale alipoamua kuzaa.
Swali ni je! Wewe ndugu yetu MILL8 unao UKE????