Tajiri mpole
JF-Expert Member
- Apr 15, 2018
- 2,890
- 5,632
Daaa... Mzee umeukalia mpaka unataka ukubebesha kitumbo?NImetoke kuvutiwa sana na ubebaji wa mimba kwa wanawake natamani vile vitumbo vinapo tangulia mbele najisikia furaha sana.
pia sichoki kuwaangalia wanawake wajawazito bilashaka wananipa furaha moyoni na machoni, nimefikia hatua nami kutaman nibebe mimba kama wao. moyo unanisukuma kufanya hivyo ili pia nivunje rekodi ya africa, nabado napambana ili siku moja nilete kiumbe duniani.
Hizi zitakuwa samples za yule jamaa James delicious..