Shark
JF-Expert Member
- Jan 25, 2010
- 29,775
- 29,746
Mkuu kuna Uzi nimefungua unohusu wadada wanaohitaji kubeba Mimba,NImetoke kuvutiwa sana na ubebaji wa mimba kwa wanawake natamani vile vitumbo vinapo tangulia mbele najisikia furaha sana.
pia sichoki kuwaangalia wanawake wajawazito bilashaka wananipa furaha moyoni na machoni, nimefikia hatua nami kutaman nibebe mimba kama wao. moyo unanisukuma kufanya hivyo ili pia nivunje rekodi ya africa, nabado napambana ili siku moja nilete kiumbe duniani.
Ila sasa watu wa aina yako sijui tutasaidiana vipi, maana tatizo lako ni gumu na kubwa kidogo kwangu, labda kama watatokea wanaoliweza pale.
Kwa wadada wanaohitaji watoto au mbegu na kwa wanaume tunaotaka kutoa mbegu bure tukutane hapa