Natamani kubeba mimba niwe mwanaume wa kwanza Afrika

NImetoke kuvutiwa sana na ubebaji wa mimba kwa wanawake natamani vile vitumbo vinapo tangulia mbele najisikia furaha sana.

pia sichoki kuwaangalia wanawake wajawazito bilashaka wananipa furaha moyoni na machoni, nimefikia hatua nami kutaman nibebe mimba kama wao. moyo unanisukuma kufanya hivyo ili pia nivunje rekodi ya africa, nabado napambana ili siku moja nilete kiumbe duniani.
Mkuu kuna Uzi nimefungua unohusu wadada wanaohitaji kubeba Mimba,
Ila sasa watu wa aina yako sijui tutasaidiana vipi, maana tatizo lako ni gumu na kubwa kidogo kwangu, labda kama watatokea wanaoliweza pale.

Kwa wadada wanaohitaji watoto au mbegu na kwa wanaume tunaotaka kutoa mbegu bure tukutane hapa
 
Sio kazi yangu kuhukumu ila sioni kama kuna faida hapa duniani kuwa na kiumbe hai kama wewe, mwanaume rijali wa kiafrika hawezi tamani upuuzi huu unaoutamani wewe.

Ningekuwa mods ningeondoa hii Thread, JF inaanzaje kutunzwa kwa nyuzi kama hizi.
wanasemaga wivu hauna maendeleo...
jistukie mtoto wa kiume
 
Ebu tusikitike kidogo tetetetetete[emoji21] [emoji20] [emoji20] [emoji19]
 
Aaahhh embu subiri kwanza , Yaan haya maandishi umeyanukuu sehemu, au ni maneno yanayotoka moyoni mwako na ukiwa na Akili ?au ni akili za asubuh kwa Tanzania ,na Akili za masaa ya Usiku nchi za watu?.

"Mwanamke Utazaa kwa Uchungu , Mwanamme utakula kwa jasho lako". Nadhan ungeendelea kupigana ktk jukumu lako hili , nasio kuingilia majukumu ya viumbe wengine .

Kama wanamme tena wakiafrika, tumeanza kua na mawazo haya , basi Yesu yu Karibu karudi.
Tunaomba yesu aludi tu maana tunako elekea cko
 
NImetoke kuvutiwa sana na ubebaji wa mimba kwa wanawake natamani vile vitumbo vinapo tangulia mbele najisikia furaha sana.

pia sichoki kuwaangalia wanawake wajawazito bilashaka wananipa furaha moyoni na machoni, nimefikia hatua nami kutaman nibebe mimba kama wao. moyo unanisukuma kufanya hivyo ili pia nivunje rekodi ya africa, nabado napambana ili siku moja nilete kiumbe duniani.
kwahiyo unatamani kugongwa pia au unataka uipate kwa njia gani
 
NImetoke kuvutiwa sana na ubebaji wa mimba kwa wanawake natamani vile vitumbo vinapo tangulia mbele najisikia furaha sana.

pia sichoki kuwaangalia wanawake wajawazito bilashaka wananipa furaha moyoni na machoni, nimefikia hatua nami kutaman nibebe mimba kama wao. moyo unanisukuma kufanya hivyo ili pia nivunje rekodi ya africa, nabado napambana ili siku moja nilete kiumbe duniani.
😳 😳
 
Back
Top Bottom