Son of Gamba
JF-Expert Member
- Oct 26, 2012
- 4,720
- 6,957
Ila hizi transgender ziko nying tu..Mkuu MILL8 unataka kuwa kama Thomas Beatie, yeye alibeba mimba yake ya kwanza mwaka 2008 na sasa hivi ana watoto watatu. Wewe unataka kubeba mimba mara ngapi mkuu?
View attachment 780776 View attachment 780777
Picha ya kwanza kushoto ni Thomas Beatie akiwa na mimba yake ya kwanza na picha ya pili kulia akiwa na mtoto wake wa kwanza.
Lakini huyu alizaliwa kama "mwanamke" akiwa na "Uke" na "tumbo la uzazi" sema alijibadilisha na kuwekewa "uume" na kuwa kama mwanaume, isipokuwa "uke" wake haukuondolewa ndiyo maana aliweza kubeba mimba pale alipoamua kuzaa.
Swali ni je! Wewe ndugu yetu MILL8 unao UKE????
Kwa ufupi tu sina ukeMkuu MILL8 unataka kuwa kama Thomas Beatie, yeye alibeba mimba yake ya kwanza mwaka 2008 na sasa hivi ana watoto watatu. Wewe unataka kubeba mimba mara ngapi mkuu?
View attachment 780776 View attachment 780777
Picha ya kwanza kushoto ni Thomas Beatie akiwa na mimba yake ya kwanza na picha ya pili kulia akiwa na mtoto wake wa kwanza.
Lakini huyu alizaliwa kama "mwanamke" akiwa na "Uke" na "tumbo la uzazi" sema alijibadilisha na kuwekewa "uume" na kuwa kama mwanaume, isipokuwa "uke" wake haukuondolewa ndiyo maana aliweza kubeba mimba pale alipoamua kuzaa.
Swali ni je! Wewe ndugu yetu MILL8 unao UKE????
Bila Uke na tumbo la uzazi utabebaje mimba sasa?? Ili uweze kubeba mimba unatakiwa kuwa na hivyo viungo, wewe huna sasa huoni kama hilo ni jambo lisilowezekana kwako??Kwa ufupi tu sina uke
*na bado unapambana*NImetoke kuvutiwa sana na ubebaji wa mimba kwa wanawake natamani vile vitumbo vinapo tangulia mbele najisikia furaha sana.
pia sichoki kuwaangalia wanawake wajawazito bilashaka wananipa furaha moyoni na machoni, nimefikia hatua nami kutaman nibebe mimba kama wao. moyo unanisukuma kufanya hivyo ili pia nivunje rekodi ya africa, nabado napambana ili siku moja nilete kiumbe duniani.
Hivi huyu ni me?Nadhani huwa ukisikia wanapata raha wakifikishwa kileleni (kukojozwa) na wewe unatamani.
Inasikitisha sana kuwepo wanaume wa aina kama yako.
Tena BaunsaHivi huyu ni me?
Huyu sio baunsa bali mnene flani...nina mashaka huenda ni team vitamu cc deliciousTena Baunsa
Je, wewe ni shoga ? Au ni mawazotu yanakunyemelea.NImetoke kuvutiwa sana na ubebaji wa mimba kwa wanawake natamani vile vitumbo vinapo tangulia mbele najisikia furaha sana.