Natamani kubeba mimba niwe mwanaume wa kwanza Afrika

Naona tangazo lako linajieleza wew ni mbwa mla mbwa hahahaha yajayo yanafurahisha
 
Kabla ya kubeba mimba kuna kupigwa dudu...upo tayari??
Anza kufanya majaribio.
 
Hivi humu JF kuna homosexuals kumbe?!

Aisee.....namuonea huruma sana baba yako kama yupo hai au hata kama hauishi nae but namuonea huruma kwa kuamini ana kidume kumbe amekula hasara.
 
HILI NI TATIZO LA KIROHO
HUJACHELEWA NA LINATIBIKA TIBA BORA NI YESU mkiri naye Atakuweka HURU
 
Nimeanza kuota matiti, taratibu naanza kujichukia mwenyewe

Huu ndio wakati muafaka wa kubeba mimba
 
Umeshachagua Mimba utaingiziwa vp,
 
J
Jf kuna maajabu mengi sijayaona huwezi amini huu uzi ndio nauona leo .
 
Hakunaga mwanaume mwenye mawazo Kama ya huyu chocolate

Sent from my MI PLAY using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…