Maisha yana changamoto nyingi sana, inabidi uwe na roho ngumuHaya mambo haya......
Maisha yana changamoto nyingi sana, inabidi uwe na roho ngumu
Shetani Ushindwe ktk Jina la Yesu wa NazaletiKuna mda napita road na wish hata mtu anisukumize kwenye barabara nikanyagwe na gari nife
Ama nikipita Darajani atokee mtu anisukume nianguke chini ya daraja nife
At this point sion umuhimu wowote wa kuendelea kubaki hai ikiwa kila nachogusa kinafeli
I don't wish to see 2023 hope this one will not failed
Dah pole sana hilo tatizo linawahusu vijana vengi imekuwa kawaida kuumizwa na mapenzi ila kuwa bize na mambo yako fuatilia vipindi vya dini yako (kwa imani yako) pia tenga mda ufanye mazoez na jaribu kuanzisha mahusiano na bint mwengine utasahau yote 1day utanipa mrejeshoOya Mwanenu mapenzi yanataka Kunitoa Roho
Daaah wanangu, Mwenzenu niko Hoi hapa Nilipo! Sina Usingizi, wala Siwezi hata Kula. Nimekuwa Fara Kinyama Kisa Mapenzi. Ngoja Niwape Hii stori kwa Ufupi. Kuna Dem mmoja, nilikutana Naye Supermarket, (ilikuwa Mwezi wa tatu 2022) nilimpenda na kumfungukia Hisia zangu, akawa Amenipa Namba...www.jamiiforums.com
Oya Mwanenu mapenzi yanataka Kunitoa Roho.
Nipeni msaada kwenyeHili...
Mwenzenu pia nina hali ngumu.
Maadam hilo tatizo lako unataka ufe baada ya kufanyiwa hivyo na mtu mwingine na hivyo kumuachia kesi, achana nalo. Muombe Mungu kwa dhati kwa mani yako. Bila shaka utapata ufumbuziKuna mda napita road na wish hata mtu anisukumize kwenye barabara nikanyagwe na gari nife
Ama nikipita Darajani atokee mtu anisukume nianguke chini ya daraja nife
At this point sion umuhimu wowote wa kuendelea kubaki hai ikiwa kila nachogusa kinafeli
I don't wish to see 2023 hope this one will not failed