Natamani kufa

Natamani kufa

siyumwe

Senior Member
Joined
Apr 10, 2017
Posts
152
Reaction score
134
Kuna mda napita road na wish hata mtu anisukumize kwenye barabara nikanyagwe na gari nife
Ama nikipita Darajani atokee mtu anisukume nianguke chini ya daraja nife
At this point sion umuhimu wowote wa kuendelea kubaki hai ikiwa kila nachogusa kinafeli

I don't wish to see 2023 hope this one will not failed
 
Itakua ni kweli
JamiiForums510953485.jpg
 
Maisha yana changamoto nyingi sana, inabidi uwe na roho ngumu

Oya Mwanenu mapenzi yanataka Kunitoa Roho.

Nipeni msaada kwenyeHili...
Mwenzenu pia nina hali ngumu.
 
Maisha ya siku hizi bila pesa au connection yanakuwa magumu sana, mbaya zaidi ukiwa graduate,...

Wazazi wanakutegemea, ndugu wanaona umefeli maisha, ukiangalia vijana wenzako wanapiga hatua kwa spidi, unajiona kabisa umefeli...unapanic

Jambo la msingi ni kutuliza akili na kukomaa, kutokata tamaa kubali lawama na dharau tafuta suluhisho kwa njia zozote za halali.

Ulevi, madawa ya kelevya au suicide sio njia sahihi za kupambana na matatizo ya maisha. Tuishi maisha yetu
 
Kuna mda napita road na wish hata mtu anisukumize kwenye barabara nikanyagwe na gari nife
Ama nikipita Darajani atokee mtu anisukume nianguke chini ya daraja nife
At this point sion umuhimu wowote wa kuendelea kubaki hai ikiwa kila nachogusa kinafeli

I don't wish to see 2023 hope this one will not failed
Shetani Ushindwe ktk Jina la Yesu wa Nazaleti
 
Oya Mwanenu mapenzi yanataka Kunitoa Roho.

Nipeni msaada kwenyeHili...
Mwenzenu pia nina hali ngumu.
Dah pole sana hilo tatizo linawahusu vijana vengi imekuwa kawaida kuumizwa na mapenzi ila kuwa bize na mambo yako fuatilia vipindi vya dini yako (kwa imani yako) pia tenga mda ufanye mazoez na jaribu kuanzisha mahusiano na bint mwengine utasahau yote 1day utanipa mrejesho
 
Kuna mwenzako huko mapenzi yanataka kumtoa roho. Haya nawewe nini kinakusibu?
Elezea shida ni nini? Nyie muiteni tu Israel, tena hii ndiyo mida yake...
 
Kuna mda napita road na wish hata mtu anisukumize kwenye barabara nikanyagwe na gari nife
Ama nikipita Darajani atokee mtu anisukume nianguke chini ya daraja nife
At this point sion umuhimu wowote wa kuendelea kubaki hai ikiwa kila nachogusa kinafeli

I don't wish to see 2023 hope this one will not failed
Maadam hilo tatizo lako unataka ufe baada ya kufanyiwa hivyo na mtu mwingine na hivyo kumuachia kesi, achana nalo. Muombe Mungu kwa dhati kwa mani yako. Bila shaka utapata ufumbuzi
 
Back
Top Bottom