Mbepo yamba
JF-Expert Member
- Aug 5, 2012
- 1,262
- 1,773
Mkuu ni kama umeniwahi. Usiku wa leo nimemuaga mke wangu kuwa I'm more likely to die as i don't see the essence of life anymore.Kuna mda napita road na wish hata mtu anisukumize kwenye barabara nikanyagwe na gari nife
Ama nikipita Darajani atokee mtu anisukume nianguke chini ya daraja nife
At this point sion umuhimu wowote wa kuendelea kubaki hai ikiwa kila nachogusa kinafeli
I don't wish to see 2023 hope this one will not failed
Aisee, tatizo nini mkuu?. Pole sanaMkuu ni kama umeniwahi. Usiku wa leo nimemuaga mke wangu kuwa I'm more likely to die as i don't see the essence of life anymore.
Acha tu mkuu. Mimi ni mkristo kwa kuzaliwa ila umefika wakati siuoni uwepo wa huyu Mungu maana kila njia kwangu imefunga na najikuta kwenye series ya matatizo mno tena makubwa. Niko engulfed tena kwa kingo ngumu sana. I just see the worst part of the world tena kwa muda mrefu sana. Zaidi ya miaka kumi sasa.Aisee, tatizo nini mkuu?. Pole sana
Nilitaka nicomment kama wewe ila umeniwahi.Mitandao pia inachangia sana, vijana wengi tunapenda kulinganisha maisha yetu na watu wa mitandao, hapo lazima upate stress mana unajilinganisha na maigizo
Poleni sana wakuu,hii hutokeaga sana mwenyewe kuna muda nilikuwa hukoWooooote si ambao hatujalala hadi sahivi saa 7 tupo kama wewe.
Fvck anxiety. Fvck Depression. Fvck Loneliness.
Ni kweli kabisaI don't wish to see 2023 hope this one will not failed! (Fail)
Zingatieni hiyo tamati yake! Imebeba ujumbe muhimu mno na pengine kufikia sasa hatunaye!
Msimbeze watu wanapitia magumu mengi na hawana msaada
Yesu wa Nazareth tena? Sasa mtoa mada yupo Tanzania wewe unamwambia habari za Yesu wa Nazareth.Shetani Ushindwe ktk Jina la Yesu wa Nazaleti
Pole mkuu,,sasa mkuu ukifa..watoto wako unaowapenda utawaacha na nani?Japo kwangu haihusiani na mapenzi, mahusiano wala ndoa. Nina mke anayenipenda na watoto pia wananipenda na nawapenda wote. Ninaiona pia jamii inanipenda lakini ni nature tuu imekuwa rude to me
You may not start a conversation with the following recipients: Mshana Jr. ujumbe ninao pataNaomba tuwasiliane[emoji1545]
kuendelea kuishi pia sio guarantee kama kila kitu kitakuja kukaa sawa piaPole mkuu,,sasa mkuu ukifa..watoto wako unaowapenda utawaacha na nani?
Just pull up your socks and live for them