Natamani kuifanya familia yangu kuwa kama ya Bakhresa na ya akina Mo Dewji, nipeni muongozo

Sisi pia tunatamani tuwe kama hao hao uliowataja sasa ukituomba sisi ushauri wakati hatuishi na hao watu na hatujawafikia ni kama unatutukana boss..
 
1. Hapana walishafariki
2. 5 aliopata nao watoto
3. 15, ni mtoto wa pili kutoka mwisho
4. Hapana
5. Somehow ipo shwari masikilizano yapo
6. Ndio na kikao tumekaa
 

Ishu Inaanza kwenye mentality. Wa Africa wanategea sana kusoma waajiriwe ndo watoboe maisha sasa unapo leta ixhu ya family wealth au generation wealth ndugu hawatakuelewa watatak usome uajiriwe uwasaidie. Hawa amini kutoboa kwa kufanya biashara.

Lengo ni kutoka kweny financial struggle to financial stable to financial freedom

Ukianza n miradi kama real esate au investment inayo toa service kam shule, afya Iitakupa urahis kwenye usimamizi

Ukiwa na mentality hio, Right people , Information, sacrifice na support utafika hko
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…