Nimescreen shot comments yako mkuu nikitulia kabla ya kulala nitaitafuta nipate madini ahsante sanaNenda YouTube andika neno fahari yetu bakhresa .utapata historia yake kutoka kwa mwanaye Abuubakar, pia wanakupitisha kiwanda kimoja kimoja na historia walipoanza hadi walipo. Utaongeza kitu
Sijakuelewa mkuu labda ungefafanua zaidiHapo ndio makosa tunafanya, unataka kuanza upya baada ya kuanzia alipoishia Mzee wako na kuendelea kwenda mbele.
Kama Mzee wako alijenga, huhitaji kujenga zaidi ya kuboresha hapo alipojenga na wote mkae hapohapo.
Kwa majibu hayo nashauri achana na mali za familia na washauri muuze then kila mmoja achukue chake akafanye vile itakavyo mpendeza.1. Hapana walishafariki
2. 5 aliopata nao watoto
3. 15, ni mtoto wa pili kutoka mwisho
4. Hapana
5. Somehow ipo shwari masikilizano yapo
6. Ndio na kikao tumekaa
Basi level za uliowataja huwezi kuzifikia mpk unakufaSiwezi kuisacrifize familia kiasi hicho
Kwa ninavyofikiria kama ni mafanikio tutapata wote kwa pamoja maana tutakuwa naKwa majibu hayo nashauri achana na mali za familia na washauri muuze then kila mmoja achukue chake akafanye vile itakavyo mpendeza.
Yawezekana mnaona utulivu kwasababu mafanikio hayajaonekana, lakini ikija tokea ukapata mafanikio kwa kupitia mali za mzee wenu hakuna rangi utaacha kuiona.
Ardhi na mashamba vipo mkoa gani?Dah! mkuu kama wewe ni mwanafamilia yani, sijui kwanini wanaamini katika kuajiriwa wakati mzazi wetu alikuwa mfanyabiashara mkubwa tu
Nilikuwa na mawazo hayo ya real estate lakini uchumi uko chini lazima tuanzie chini ndio tuwekeze zaidi
Ushauri wako ni mzuri sana mkuu ila ningeomba unifafanulie kitu kimoja hapoMleta mada Resouce zote unazo financialy na people(ndugu zko)
Kinachokosekan n bussines Ideas utakazo invest ili u diversify.
NOW YOU ARE ASSET RICH BUT CASHFLOW POOR
Inahitaj utafte Idea na strategies both long term and short term kabla missunderstanding bain ya ndugu hazijaanz kuibuka. Waite wote mkae muweke goals.
Unaonekana unapenda n kulazimisha family Bussines IF U WANT TO GO FAST GO ALONE IF UWANT TO GO FAR GO TOGETHER.
Wewe ukiona ndugu Haeleweki unamkataa kaa karibu tu wenye MINDSET ulionayo wewe, hao wengi unaotak kushirikiana nao wengne hawana malengo na mindset kama yko,
ushawauliza wana malengo gani?. You only need Right people ndugu wengi watakurudisha nyuma. Punguza circle yko kwanza ata hao kina MO sio ndugu wote wapo kwenye biashara only the selected Few.
Ukikaa na watu waliofanikiwa watakuambia siri ni kuwa na Roho ngumu na mbaya yenye kuchukua maamuzi magumu iwezekanavyo ili kuwafikisha kwenye ndoto zao..
Ukiniitaji kwa mentorship, bussiness plan na ushauri am available
Mwongozo utakuwa nao wewe.Wakuu kwenye familia yetu tuna asset muhimu kama ardhi, mashamba na nyumba kadhaa ila usimamizi ndio hakuna.
Kama mtoto niliesomeshwa na kuhitimu elimu ya juu natamani siku moja familia yangu iwe familia kubwa na yenye miradi endelevu kwa manufaa ya familia na jamii kwa ujumla.
Wakuu, kwa heshima na taadhima naomba mnipe muongozo na mawazo kipi nifanye ili kufikia malengo yangu ya kufaifanya familia iwe kama ya Bakhresa.
Natanguliza shukrani.