Nilitaka nijaribu kuleta mifumo baina yetu ila kuendeleza tutaendeleza wote huku kila mtu akipambana na mishe zake uchumi wa familia ukisalia kama backupKama ni mali za urithi kuziendeleza peke yako kwa familia zetu za kiswahili ni ngumu sijui ninyi mlilelewa vipi na vipato vya ndgu zako.
Komaa mwenyewe jombaa
Mbinu ya kwanza tayari unayo, ni hayo mawazo yako positive ya kutaka kuwa hivyoNipe mbinu mkuu ushauri wako ni muhimu
Anza na kazi ya kushona viatu kwanza kwenye kibaraza. Bakresa alianza hivyo.Wakuu kwenye familia yetu tuna asset muhimu kama ardhi, mashamba na nyumba kadhaa ila usimamizi ndio hakuna.
Kama mtoto niliesomeshwa na kuhitimu elimu ya juu natamani siku moja familia yangu iwe familia kubwa na yenye miradi endelevu kwa manufaa ya familia na jamii kwa ujumla.
Wakuu, kwa heshima na taadhima naomba mnipe muongozo na mawazo kipi nifanye ili kufikia malengo yangu ya kufaifanya familia iwe kama ya Bakhresa.
Natanguliza shukrani.
Big up sana nimekupata vilivyo mkuuMbinu ya kwanza tayari unayo, ni hayo mawazo yako positive ya kutaka kuwa hivyo
Mbinu ya pili ni uthubutu. Hapa unapaswa kuthubutu kufanya
Unathubutu kufanya nini? Kwani hao utajiri wao unaotokana na nini? Basi hapo ndio unapaswa kuthubutu
Kama wanauza maji au juice au unga, basi nawe zama deep tafuta connection kubwa(inawezekana), suka mipango yako vizuri upate kukutana na wafanyabiashara wakubwa anza nao kwenye mambo madogo wakuamini alafu mengine utajiongeza. Sio rahisi kuwakaribia Ila inawezekana
Kuna baadhi ya foundation mzee wetu kashaanzisha lengo langu ni kuendeleza sio kuanza kama alivyoanza Bakhresa bali nahitaji mbinu za kuendeleza mali za kifamiliaAnza na kazi ya kushona viatu kwanza kwenye kibaraza. Bakresa alianza hivyo.
Hili ni lengo kubwa na la kufurahisha sana, na ni muhimu kuwa na mkakati wa muda mrefu kwa ajili ya kulifanya litimie. Hapa kuna hatua kadhaa unazoweza kufuata ili kufanikisha mpango wako wa kufanya familia yako iwe na miradi endelevu kama familia ya Bakhresa:Wakuu kwenye familia yetu tuna asset muhimu kama ardhi, mashamba na nyumba kadhaa ila usimamizi ndio hakuna.
Kama mtoto niliesomeshwa na kuhitimu elimu ya juu natamani siku moja familia yangu iwe familia kubwa na yenye miradi endelevu kwa manufaa ya familia na jamii kwa ujumla.
Wakuu, kwa heshima na taadhima naomba mnipe muongozo na mawazo kipi nifanye ili kufikia malengo yangu ya kufaifanya familia iwe kama ya Bakhresa.
Wakuu kwenye familia yetu tuna asset muhimu kama ardhi, mashamba na nyumba kadhaa ila usimamizi ndio hakuna.
Kama mtoto niliesomeshwa na kuhitimu elimu ya juu natamani siku moja familia yangu iwe familia kubwa na yenye miradi endelevu kwa manufaa ya familia na jamii kwa ujumla.
Wakuu, kwa heshima na taadhima naomba mnipe muongozo na mawazo kipi nifanye ili kufikia malengo yangu ya kufaifanya familia iwe kama ya Bakhresa.
Natanguliza shukrani.
Ahsante sana umenipa challenge nzuri nitaifanyia kaziHili ni lengo kubwa na la kufurahisha sana, na ni muhimu kuwa na mkakati wa muda mrefu kwa ajili ya kulifanya litimie. Hapa kuna hatua kadhaa unazoweza kufuata ili kufanikisha mpango wako wa kufanya familia yako iwe na miradi endelevu kama familia ya Bakhresa:
1. Tathmini Mali Zilizopo
Anza kwa kufanya tathmini ya rasilimali zenu, kama ardhi, mashamba, na nyumba. Fahamu ukubwa wa mali, hali yake, na uwezo wa kuzitumia kwa miradi mbalimbali. Hii itakusaidia kuamua ni mali gani inaweza kuendelezwa kwanza na namna bora ya kuzitumia.
2. Pata Elimu ya Usimamizi wa Miradi
Kuanzisha miradi mikubwa inahitaji ujuzi wa usimamizi wa rasilimali na miradi. Kwa kuwa una elimu ya juu, jaribu kujiendeleza zaidi katika masuala ya usimamizi wa biashara na ujasiriamali. Hii itakusaidia kusimamia mali na miradi kwa ufanisi zaidi.
3. Unda Mpango wa Biashara
Baada ya kutathmini mali, tengeneza mpango wa biashara wa muda mrefu. Angalia ni sekta gani unaweza kuwekeza na ambayo ina faida zaidi kutokana na rasilimali ulizonazo. Ikiwa una ardhi na mashamba, unaweza kuzingatia kilimo cha kisasa, ufugaji, au hata kuanzisha viwanda vidogo.
4. Wekeza Katika Teknolojia na Ubunifu
Miradi mingi mikubwa yenye mafanikio hutegemea matumizi ya teknolojia. Anza kuangalia jinsi ya kutumia teknolojia ili kuongeza uzalishaji, kama kilimo cha kisasa, ufugaji wa kisasa, au hata majengo yenye mifumo ya kisasa. Teknolojia inaweza kuleta tija zaidi kwa miradi yako.
5. Tafuta Ushirikiano wa Familia
Mafanikio ya familia kubwa kama ya Bakhresa hutegemea mshikamano wa familia. Hakikisha familia yako inaelewa malengo yako na kuwashirikisha katika maamuzi muhimu. Wakati mwingine, unaweza kuhitaji kuwa na vikao vya mara kwa mara ili kupanga na kujadili maendeleo.
6. Tafuta Ushauri wa Kitaalamu
Katika masuala makubwa kama haya, usisite kutafuta ushauri kutoka kwa wataalamu wa biashara, kilimo, au masuala mengine yanayohusiana na miradi unayotaka kuanzisha. Wataalamu watakusaidia kujua ni hatua gani za kuchukua na namna ya kuzitekeleza kwa ufanisi.
7. Fanya Ufuatiliaji na Tathmini
Kila baada ya muda, fanya tathmini ya maendeleo ya miradi yako. Hakikisha kuwa unafuatilia matumizi ya mali, mapato, na maendeleo kwa ujumla ili kuboresha maeneo yenye changamoto.
Kwa mpango mzuri na uvumilivu, unaweza kufanikisha malengo yako ya kuifanya familia yako kuwa na miradi mikubwa na yenye manufaa. Pia kumbuka kwamba mabadiliko makubwa hayaji mara moja, bali ni matokeo ya juhudi za muda mrefu.
Wewe tayari umeshafeli kwa kuja na huu uzi hapa. Washindi huwa hawaongei sana. Washindi bora wakosee kwenye kufanya ila sio kuongea ongea.Kuna baadhi ya foundation mzee wetu kashaanzisha lengo langu ni kuendeleza sio kuanza kama alivyoanza Bakhresa bali nahitaji mbinu za kuendeleza mali za kifamilia
Ni mali za familia mimi nikiwa miongoni mwaoHizô Mali umechaguliwa wewe kuwa Kiongozi katika kuhakikisha zinaongezeka au ni kuzimezea mate tuu Mali Ambazo hazikuhusu kwani hujahusishwa?
Mambo za kifamilia sio za kukurupuka na kuleta ujuaji nimekuja kupata miongozo kama kuna waliowahi kufanya kama ninavyo tarajia kufanyaWewe tayari umeshafeli kwa kuja na huu uzi hapa. Washindi huwa hawaongei sana. Washindi bora wakosee kwenye kufanya ila sio kuongea ongea.
Hapo sasa yeye anakuja kuwauliza watu ambao hata mchana hawajauona 🤣🤣Huu ushauri ungeupata kwa mo na bakheressa mwenyewe ingekua poa sana
Kamaa tungekuwa na miongozo unayoomba, ungeziona familia zetu zikikaa meza moja na kina Bakhresa. Ila kwasababu hatuna ujanja, ndio maa a wote tumefanana.Wakuu kwenye familia yetu tuna asset muhimu kama ardhi, mashamba na nyumba kadhaa ila usimamizi ndio hakuna.
Kama mtoto niliesomeshwa na kuhitimu elimu ya juu natamani siku moja familia yangu iwe familia kubwa na yenye miradi endelevu kwa manufaa ya familia na jamii kwa ujumla.
Wakuu, kwa heshima na taadhima naomba mnipe muongozo na mawazo kipi nifanye ili kufikia malengo yangu ya kufaifanya familia iwe kama ya Bakhresa.
Natanguliza shukrani.
Anza kwa kuishi kama Bakhresa na Mo.Wakuu kwenye familia yetu tuna asset muhimu kama ardhi, mashamba na nyumba kadhaa ila usimamizi ndio hakuna.
Kama mtoto niliesomeshwa na kuhitimu elimu ya juu natamani siku moja familia yangu iwe familia kubwa na yenye miradi endelevu kwa manufaa ya familia na jamii kwa ujumla.
Wakuu, kwa heshima na taadhima naomba mnipe muongozo na mawazo kipi nifanye ili kufikia malengo yangu ya Akufaifanya familia iwe kama ya Bakhresa.
Natanguliza shukrani.
10mln umeenda mbali sana tena sanaWatu unaowaomba ushauri ukute hakuna hata mmoja mwenye account inasoma milioni 10 akiba, unategemea jibu gani?
Kama familia ya Mo na Bakhresa zipo humu utapata majibu ya uhakika ila wengine watakupa porojo tuWakuu kwenye familia yetu tuna asset muhimu kama ardhi, mashamba na nyumba kadhaa ila usimamizi ndio hakuna.
Kama mtoto niliesomeshwa na kuhitimu elimu ya juu natamani siku moja familia yangu iwe familia kubwa na yenye miradi endelevu kwa manufaa ya familia na jamii kwa ujumla.
Wakuu, kwa heshima na taadhima naomba mnipe muongozo na mawazo kipi nifanye ili kufikia malengo yangu ya kufaifanya familia iwe kama ya Bakhresa.
Natanguliza shukrani.
Mkuu njia nyepesi ni kwa kujiumga na vyama vya kisiri na uanze kumsujudia na kumuabudu Ibilisi.Wakuu kwenye familia yetu tuna asset muhimu kama ardhi, mashamba na nyumba kadhaa ila usimamizi ndio hakuna.