Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Baadhi wana maono kama yangu pia kuhusu level ya uchumi naweza sema tupo sawa tu tofauti ni kuwa mimi ndio msomi pekeeSwali binafsi unalotakiwa kujiuliza na ndugu zako Wana maono hayo?
Iko hivi ukiwa na pesa na ukiwa unasupply Kwa kila mmoja utadhani ulichelewa kuwasilisha hayo maono kwani kila mmoja atakusapoti kila unalosema.
Ila supply ya pesa ikikata utajua kuwa uliona nuru gizani Kwa mwanga WA mshumaa.
Anza kwa kusali sala tano lwa siku kama Bakhresa na Mo.Lengo langu sio kufanana nao kimuonekano ila kiuchumi na kimaendeleo ya familia kama vile ushikamano na ushirikiano
Pia sio kwa mimi pekeangu kwa familia nzima
Wewe umekula chumvi nyingi nipe muongozo mjukuu wako
Una uhakika gani kuwa Bakhresa na Mo wanaswali swala tano
Twende kwa mtu personal, kuwa muislam sio kuswali swala tanoWaislam sala tano kwa siku ni lazima siyo chaguo. Hazina udhuru.
Ukitaka kufanikiwa hama unapoishi, kajifiche sehemu na mtaji wako na uanze biashara. Familia zetu za kiswahili mara nyingi hazitaki kuona mafanikio kwa baadhi ya wanafamilia, khususan pakiwa na tofauti au kupishana maneno kwa wanafamilia.Wakuu kwenye familia yetu tuna asset muhimu kama ardhi, mashamba na nyumba kadhaa ila usimamizi ndio hakuna.
Kama mtoto niliesomeshwa na kuhitimu elimu ya juu natamani siku moja familia yangu iwe familia kubwa na yenye miradi endelevu kwa manufaa ya familia na jamii kwa ujumla.
Wakuu, kwa heshima na taadhima naomba mnipe muongozo na mawazo kipi nifanye ili kufikia malengo yangu ya kufaifanya familia iwe kama ya Bakhresa.
Natanguliza shukrani.
Hapa nazungumzia uchumi wa familia nzima sio mimi pekeanguUkitaka kufanikiwa hama unapoishi, kajifiche sehemu na mtaji wako na uanze biashara. Familia zetu za kiswahili mara nyingi hazitaki kuona mafanikio kwa baadhi ya wanafamilia, khususan pakiwa na tofauti au kupishana maneno kwa wanafamilia.
Ni vizuri basi itisha kikao cha familia na uwadokeze nia yako halafu uone.Hapa nazungumzia uchumi wa familia nzima sio mimi pekeangu
Kuhusu mimi nipo na mishe zangu tofauti na eneo la nyumbani na kila mtu kwenye familia kwa sasa anapambana kivyake ni kama kila mtoto kasusa mirathi ya mzee
Mzazi ana nyumba kiwanja cha kutosha buguruni kwa mfuga mbwa kinatosha vyumba viwili na hata gari haiingii unaboresha nini ?Hapo ndio makosa tunafanya, unataka kuanza upya baada ya kuanzia alipoishia Mzee wako na kuendelea kwenda mbele.
Kama Mzee wako alijenga, huhitaji kujenga zaidi ya kuboresha hapo alipojenga na wote mkae hapohapo.
naona trunazunguka hapohapo. Nimeshakueleza, ukipenda fata hukupenda usifate.Twende kwa mtu personal, kuwa muislam sio kuswali swala tano
Kwa upande wa Mo na Bakhresa unao uhakika kuwa wanaswali swala tano?
Nahitaji mbinu za kuifanikisha familia yangu kiuchumi nipe mbinu za kijasiliamali tofauti na hizo za swala tano
Andiko langu halihusiani na dini japo mimi mwenyewe ni mwanadini kwa hapa tupeane ushauri kuhusu suala lililopo mezaninaona trunazunguka hapohapo. Nimeshakueleza, ukipenda fata hukupenda usifate.
Mmeshindwa kumuelewa Yeshua mtaweza kunielewa mimi? Mawee.
usiogope kusali sala tano kama unataka kuwa kama Bakhresa au Mo. Ni jema kwako hilo kama lilivyo kwao.Andiko langu halihusiani na dini japo mimi mwenyewe ni mwanadini kwa hapa tupeane ushauri kuhusu suala lililopo mezani
Sawa naona wewe umejikita kwenye imani ila imani na vitendo imani pekee haitoshiusiogope kusali sala tano kama unataka kuwa kama Bakhresa au Mo. Ni jema kwako hilo kama lilivyo kwao.
Maisha yana msingi wake, na msingi wa kwanza ni sala tano.
Mwongozo kachukue kwa hao unaotaka kufanana nao!Wakuu kwenye familia yetu tuna asset muhimu kama ardhi, mashamba na nyumba kadhaa ila usimamizi ndio hakuna.
Kama mtoto niliesomeshwa na kuhitimu elimu ya juu natamani siku moja familia yangu iwe familia kubwa na yenye miradi endelevu kwa manufaa ya familia na jamii kwa ujumla.
Wakuu, kwa heshima na taadhima naomba mnipe muongozo na mawazo kipi nifanye ili kufikia malengo yangu ya kufaifanya familia iwe kama ya Bakhresa.
Natanguliza shukrani.