Hapa ndo watz tunavoonekana weupe mtu amecreat content yenye maana ambapo ukichangia hata ss na vzaz vyetu tuna la kujifunza anakuja mshenz eti jioake unga ety waulize more kuna mmoja hapo ametoa point watz tuna shida ya kujiibia unafànya biashara ya kifamilia au yako wenyew pakiingia faida unafanya mambo un related na biashara madem etc kitu kimoja mbali na Vingi wanavo opt hao ulio wataja ni kuishi pamoja kwanza kitu ambacho familia za weusi mnafanyiana hima kukaa mbali mbali utaona kijana kama mjini akikua kibiashara au kupata kaz anaanza kupanga na kutafta kiwanja na kujenga my friend utachimbia millions kwa kuishi kerege ofisi ipo kko hapo kuna cost za miaka na miaka lakini wahindi waarabu wanakua under one roof na kila members instead ya kuanza mwanzo kimaisha wao wanakaa pamoja kuplan biashara na kuziendeleza kingine ni kuoa ndani ya jamii yako ambao mnaendana kwa mitazamo ya pamoja mfano mila na desturi hii hata west afrika wamefanikiwa wanaoana kikabila so mila desturi hata za kiuchum zinalindwa sasa leo angalia matajir weusi mfano mengi alivokua na mchaga mwenzake na alipooa yule wanae pelekeshana mahakamni biashara zilivo kwa hili tumeona waswahili kujitaftia wanawake kwa kuangalia sijui mwanya shep komwe etc wenzetu mke anakuwa rooted na family members baada ya kujiridhisha hapa lazma mfanikiwe ndio kina wa israel wachina ndio walipo fanikiwa na kujenga maadili yao kingine watoto since a day one mawazo yake lazma yake kuendeleza cha familia hapa ww mzaz unatakiwa um nurture ktk path hyo sio baba ana mashamba ya kilimo mtoto unamsomesha utalii China hii inapelekea ww ukiondoka hakuna yyte wa kuruns gurudumu mfano kina kairuk hospital wameliweza hili zipo sababu nyingi kina mentor hawa unawekwa kwenye biashara baadae unaambiwa hili ni lako baada ya kuzalisha pengn magar au manuka matatu so unakua umewiva una exposure mtaji wa back up etc ukiyafatikia haya na mengn lazm kizaz na kizaz kitoboe nawasilisha CC mshangazKwa level yangu kuwafikia hao watu ni baina ya mbingu na ardhi labda kama una cha kunishauri mkuu nitasaidika pia
Hiki kimombo ni kikubwa sana mkuu nimesoma senti kayumba