Natamani kuifanya familia yangu kuwa kama ya Bakhresa na ya akina Mo Dewji, nipeni muongozo

Kwa level yangu kuwafikia hao watu ni baina ya mbingu na ardhi labda kama una cha kunishauri mkuu nitasaidika pia
Hapa ndo watz tunavoonekana weupe mtu amecreat content yenye maana ambapo ukichangia hata ss na vzaz vyetu tuna la kujifunza anakuja mshenz eti jioake unga ety waulize more kuna mmoja hapo ametoa point watz tuna shida ya kujiibia unafànya biashara ya kifamilia au yako wenyew pakiingia faida unafanya mambo un related na biashara madem etc kitu kimoja mbali na Vingi wanavo opt hao ulio wataja ni kuishi pamoja kwanza kitu ambacho familia za weusi mnafanyiana hima kukaa mbali mbali utaona kijana kama mjini akikua kibiashara au kupata kaz anaanza kupanga na kutafta kiwanja na kujenga my friend utachimbia millions kwa kuishi kerege ofisi ipo kko hapo kuna cost za miaka na miaka lakini wahindi waarabu wanakua under one roof na kila members instead ya kuanza mwanzo kimaisha wao wanakaa pamoja kuplan biashara na kuziendeleza kingine ni kuoa ndani ya jamii yako ambao mnaendana kwa mitazamo ya pamoja mfano mila na desturi hii hata west afrika wamefanikiwa wanaoana kikabila so mila desturi hata za kiuchum zinalindwa sasa leo angalia matajir weusi mfano mengi alivokua na mchaga mwenzake na alipooa yule wanae pelekeshana mahakamni biashara zilivo kwa hili tumeona waswahili kujitaftia wanawake kwa kuangalia sijui mwanya shep komwe etc wenzetu mke anakuwa rooted na family members baada ya kujiridhisha hapa lazma mfanikiwe ndio kina wa israel wachina ndio walipo fanikiwa na kujenga maadili yao kingine watoto since a day one mawazo yake lazma yake kuendeleza cha familia hapa ww mzaz unatakiwa um nurture ktk path hyo sio baba ana mashamba ya kilimo mtoto unamsomesha utalii China hii inapelekea ww ukiondoka hakuna yyte wa kuruns gurudumu mfano kina kairuk hospital wameliweza hili zipo sababu nyingi kina mentor hawa unawekwa kwenye biashara baadae unaambiwa hili ni lako baada ya kuzalisha pengn magar au manuka matatu so unakua umewiva una exposure mtaji wa back up etc ukiyafatikia haya na mengn lazm kizaz na kizaz kitoboe nawasilisha CC mshangaz
Hiki kimombo ni kikubwa sana mkuu nimesoma senti kayumba
 
Nilitamani kuendeleza alipoishia mzee kwani alipambana sana kufikia hatua alioiacha hakika ni hatua kubwa sana kwa mimi kuanza upya hadi kufika alipoishia mzee inaweza kuchukua umri wangu wote

Anza kwa kurasmisha mali zote za mzee au za familia kwa kuanzisha kampuni na kufanya valuation ya kila kitu then amua kama unaendeleza bisahara za mzee wako au unaanza mawazo yako mapya then una business plans au programs kutegemea na status iliyopo halafu set priorities na unaaza wapi kutekeleza plans zako! Hii ni kwa kuanzia so kuna details nyingi utapata kwenye kuandaa plans ambazo zitakupa guidance ya blueprint ya utekelezaji
 
Anza kwa kuishi kama Bakhresa na Mo.

Hawaachi sala zao 5 kwa siku.
Lengo langu sio kufanana nao kimuonekano ila kiuchumi na kimaendeleo ya familia kama vile ushikamano na ushirikiano

Pia sio kwa mimi pekeangu kwa familia nzima

Wewe umekula chumvi nyingi nipe muongozo mjukuu wako
 
Sisi waswahili bhana kipindi tupo wadogo wazazi walishatuambia kuwa nyumba ni yake yeye na mkewe sisi tutafute vyetu magari ni yake yete na mkewe sisi watoto tutafute vyetu. Hii kitu inatufanya tusiamini katika kufanikiwa kwa mali za kifamilia.
So anza kubadilisha mindset muwe kama hao wahindi
Ahsante sana kiongozi kwa ushauri wako
 
Labda hayo mashamba na ardhi kama viko masaki sawa.
Havipo Dar lakini vipo mkoani tena center ya mji mzee wetu alikuwa miongoni mwa maboss mjini hapo enzi za nyerere mpaka mwinyi

Kajitwalia maeneo muhimu ya mji na mashamba pia yapo karibu na mji ambapo kwa sasa serikali imepima viwanja na kuweka bicons baadhi ya mashamba yaliyo karibu na mji ambayo yashafikiwa na makazi ya watu
 
Mkuu njia nyepesi ni kwa kujiumga na vyama vya kisiri na uanze kumsujudia na kumuabudu Ibilisi.

Lakini kumbuka jambo hili,

You'll be used, misused, abused, and then confused.

LUKA 4:5-8

"Kisha Ibilisi akamchukua hadi mahali pa juu, akamwonesha kwa mara moja falme zote za ulimwengu. Huyo Shetani akamwambia, “Nitakupa uwezo juu ya falme zote hizi na fahari zake, kwa maana nimepewa hivi vyote; nikitaka kumpa mtu ninaweza. Hivi vyote vitakuwa mali yako wewe, kama ukiniabudu.” Yesu akamjibu, “Imeandikwa: ‘Utamwabudu Bwana Mungu wako, na kumtumikia yeye peke yake"
Ningekuwa ni mimi kama mimi ushauri huu ungefaa lakini ni jambo la kifamilia na maendeleo ya jamii inayotuzunguuka
 
Wakuu kwenye familia yetu tuna asset muhimu kama ardhi, mashamba na nyumba kadhaa ila usimamizi ndio hakuna.

Kama mtoto niliesomeshwa na kuhitimu elimu ya juu natamani siku moja familia yangu iwe familia kubwa na yenye miradi endelevu kwa manufaa ya familia na jamii kwa ujumla.

Wakuu, kwa heshima na taadhima naomba mnipe muongozo na mawazo kipi nifanye ili kufikia malengo yangu ya kufaifanya familia iwe kama ya Bakhresa.

Natanguliza shukrani.
Huku huwezi kupata mwongozo wa unachokitaka , inabidi ufuatilie kwa Mo ama Bakhressa
 
Anza kwa kurasmisha mali zote za mzee au za familia kwa kuanzisha kampuni na kufanya valuation ya kila kitu then amua kama unaendeleza bisahara za mzee wako au unaanza mawazo yako mapya then una business plans au programs kutegemea na status iliyopo halafu set priorities na unaaza wapi kutekeleza plans zako! Hii ni kwa kuanzia so kuna details nyingi utapata kwenye kuandaa plans ambazo zitakupa guidance ya blueprint ya utekelezaji
Nilitamani tufanye wote kama familia na sio kufanya mimi kama mimi wengine watahisi kama nawazunguuka

Nilitaka niwe mtoa mawazo ya nini kifanyike na ushauri mbalimbali ila viongozi wawe wakubwa zangu yani kaka zangu labda kwa masuala yanayohitaji elimu ndio nikaimu nafasi hizo
 
Hapa ndo watz tunavoonekana weupe mtu amecreat content yenye maana ambapo ukichangia hata ss na vzaz vyetu tuna la kujifunza anakuja mshenz eti jioake unga ety waulize more kuna mmoja hapo ametoa point watz tuna shida ya kujiibia unafànya biashara ya kifamilia au yako wenyew pakiingia faida unafanya mambo un related na biashara madem etc kitu kimoja mbali na Vingi wanavo opt hao ulio wataja ni kuishi pamoja kwanza kitu ambacho familia za weusi mnafanyiana hima kukaa mbali mbali utaona kijana kama mjini akikua kibiashara au kupata kaz anaanza kupanga na kutafta kiwanja na kujenga my friend utachimbia millions kwa kuishi kerege ofisi ipo kko hapo kuna cost za miaka na miaka lakini wahindi waarabu wanakua under one roof na kila members instead ya kuanza mwanzo kimaisha wao wanakaa pamoja kuplan biashara na kuziendeleza kingine ni kuoa ndani ya jamii yako ambao mnaendana kwa mitazamo ya pamoja mfano mila na desturi hii hata west afrika wamefanikiwa wanaoana kikabila so mila desturi hata za kiuchum zinalindwa sasa leo angalia matajir weusi mfano mengi alivokua na mchaga mwenzake na alipooa yule wanae pelekeshana mahakamni biashara zilivo kwa hili tumeona waswahili kujitaftia wanawake kwa kuangalia sijui mwanya shep komwe etc wenzetu mke anakuwa rooted na family members baada ya kujiridhisha hapa lazma mfanikiwe ndio kina wa israel wachina ndio walipo fanikiwa na kujenga maadili yao kingine watoto since a day one mawazo yake lazma yake kuendeleza cha familia hapa ww mzaz unatakiwa um nurture ktk path hyo sio baba ana mashamba ya kilimo mtoto unamsomesha utalii China hii inapelekea ww ukiondoka hakuna yyte wa kuruns gurudumu mfano kina kairuk hospital wameliweza hili zipo sababu nyingi kina mentor hawa unawekwa kwenye biashara baadae unaambiwa hili ni lako baada ya kuzalisha pengn magar au manuka matatu so unakua umewiva una exposure mtaji wa back up etc ukiyafatikia haya na mengn lazm kizaz na kizaz kitoboe nawasilisha CC mshangaz
Umetoa ushauri mzuri japo hujaenda direct sana nitajaribu kuelewa main points
 
Huku huwezi kupata mwongozo wa unachokitaka , inabidi ufuatilie kwa Mo ama Bakhressa
Sina cha kufuatilia kwa hao watu zaidi ya matangazo wanayopost kwenye mitandao ya kijamii tofauti na hapo sina access yoyote ya kuwafikia ana kwa ana

Hapa nataka miongozo tu naamini kuna hata wafanyakazi wao humu jukwaani
 
Nilitamani tufanye wote kama familia na sio kufanya mimi kama mimi wengine watahisi kama nawazunguuka

Nilitaka niwe mtoa mawazo ya nini kifanyike na ushauri mbalimbali ila viongozi wawe wakubwa zangu yani kaka zangu labda kwa masuala yanayohitaji elimu ndio nikaimu nafasi hiz

Nimesema kwenye plans kuna details zaidi ndio namaanisha pamoja na makubaliano hayo, kufanya kwanza agreements kama directors au shareholders agreement ambayo ndio itakuwa msingi wa kuanza kuunda family company. Hata mie sijasema ufanye mwenyewe, umetangulia kusema unataka iwe so wewe nimekuaddress kama "mbeba maono" then hayo maono yanahitaji kuwa translated ndugu zako wayaelewe na washawishike kukuunga mkono. So kazi kubwa ipo kwako, ujue siku zote mambo yanaumbwa hayaji tu kama mvua ni lazima awepo kiongozi wa kuyafanya, yani awepo Musa wa kuongoza safari yenu - kila la kheri
 
Ahsante sana mkuu

Hivi ili iwe kampuni nini na nini kinahitajika kama una ufahamu kidogo nisaidie
 
Kwanza angalia post yangu ya kwanza then part ya pili ni kukaa na ndugu zako muweke makubaliano na yawe kwenye maandishi (unaweza kugoogle maana ya samples za directors/shareholders agreements ukatumia), then mambo mengine ni ya kisheria kuna watalaam wengi wa kufanya watakusaidia kutengeneza docs na kuzisajili brela. Ila haifanyiki kabla hamjaamua kufanya, kampuni inaundwa kwanza kwa vision na mission yenu
 
Nimekuelewa mkuu ahsante sana
 
Wakuu kwenye familia yetu tuna asset muhimu kama ardhi, mashamba na nyumba kadhaa ila usimamizi ndio hakuna.

Kama mtoto niliesomeshwa na kuhitimu elimu ya juu natamani siku moja familia yangu iwe familia kubwa na yenye miradi endelevu kwa manufaa ya familia na jamii kwa ujumla.

Wakuu, kwa heshima na taadhima naomba mnipe muongozo na mawazo kipi nifanye ili kufikia malengo yangu ya kufaifanya familia iwe kama ya Bakhresa.

Natanguliza shukrani.
Umri nao ni jambo la kuzingatia pia
 
FB_IMG_17297519447950040.jpg
 
Back
Top Bottom