Natamani kuifanya familia yangu kuwa kama ya Bakhresa na ya akina Mo Dewji, nipeni muongozo

Natamani kuifanya familia yangu kuwa kama ya Bakhresa na ya akina Mo Dewji, nipeni muongozo

Ni vizuri basi itisha kikao cha familia na uwadokeze nia yako halafu uone.
Ndio maana nimekuja kwenu mnipe mbinu na mipango kipi nianze nacho na kipi cha kufanya ili nikiitisha kikao niwe na mipango kamili ya kuwaelezea sio niende kwenye kikao na blah blah
 
Kila mtu duniani ana msukumo wa ndani unaochagizwa na msukumo wa nje huwezi kuignore mentors
Msukumo wa nje ndiyo unaokufanya ujifananishe na wengine, lakini uhalisia haiwezekani kufanana.
Huu ni mtazamo hasi ya msukumo wa nje.
Ila Msukumo wa nje ukitumika vizuri unafaa sana.
 
Msukumo wa nje ndiyo unaokufanya ujifananishe na wengine, lakini uhalisia haiwezekani kufanana.
Huu ni mtazamo hasi ya msukumo wa nje.
Ila Msukumo wa nje ukitumika vizuri unafaa sana.
Itakuwa hujanielewa soma vizuri unielewe ninachomaanisha
 
Kikubwa ni kufanya biashara nyingi.mfano kama kwenye kilimo,kuuza mazao yaliyochakatwa tayari,kwenye madini,ufugaji n.k.Kwa kuanza unaweza kuanza na kimoja unachopenda lakini usijisumbue na ajira serikalini labda uanzie ngazi ya ukurugenzi na kuendelea.serikalini ni kujichelewesha tu
Na hata akiingia kwenye huo ukurugenzi ajipigie tenda na dili za juu apate mtaji aende zake
 
Elimu ndio imenisaidia kujua thamani ya kilichopo na kung'amua uwezo wa kuweza kuendeleza nimekuja kwenu kupata mawazo zaidi kwani elimu haina mwisho nipe muongozo mkuu
Upande wa mashamba yageuze kuwa 'ranch' ya mifugo, nyumba baadhi geuza kuwa viwanda vidogo.
 
Wakuu kwenye familia yetu tuna asset muhimu kama ardhi, mashamba na nyumba kadhaa ila usimamizi ndio hakuna.

Kama mtoto niliesomeshwa na kuhitimu elimu ya juu natamani siku moja familia yangu iwe familia kubwa na yenye miradi endelevu kwa manufaa ya familia na jamii kwa ujumla.

Wakuu, kwa heshima na taadhima naomba mnipe muongozo na mawazo kipi nifanye ili kufikia malengo yangu ya kufaifanya familia iwe kama ya Bakhresa.

Natanguliza shukrani.
Kwani wewe unafikiri familia ya Bakhresa IKOJE?

Any way.Kimsingi ili kutengeneza Familia ya Kitajiri kwanza lazima mmoja wenu awe mbeba maono,Pili lazima muwe na umoja,Tatu Mpendane na kuheshimiana.

Mkishamaliza Hatua hiyo Muangalie Hizo Asset mnaweza kufanya nazo nini na wapi.Kisha kwa ujasiri muanze hatua kwa hatua.Cha Muhimu msisahau Umoja ni Nguvu.
 
Ahsante mkuu nimeyapokea mawazo yako nitayaweka kwenye vitendo
 
Jibu kwanza maswali yafuatayo:-
1. Wazazi wako bado wapo hai?
2. Baba yako alikua ana wake wangapi?
3. Mmezaliwa wangapi na wewe ni mtoto wa ngapi?
4. Ndugu zako mlio zaliwa nao wana ajira ama wana namna wanajiingizia kioato?
5. Hali ya mahusiano ndani ya familia yenu yapoje?
6. Umewahi kumshirikisha mzazi wako kama unatamani kuendeleza mashamba, kuboresha majengo ama kuendeleza viwanja?
Na hii inasaidia nini?
 
Mimi mtoto kurithi mali zangu is not automatic, lazima aonyeshe uwezo (prove) wa kumiliki , kuheshimu na kuendeleza, kama mjinga chapombe full madawa atapata pesa ya kula tuu na matibabu, hizo zitaenda kwa wenye shida na mahitaji hata kama sio blood yangu
 
Back
Top Bottom