Kazanazo
JF-Expert Member
- Aug 16, 2023
- 2,582
- 4,554
- Thread starter
- #161
Ndio maana nimekuja kwenu mnipe mbinu na mipango kipi nianze nacho na kipi cha kufanya ili nikiitisha kikao niwe na mipango kamili ya kuwaelezea sio niende kwenye kikao na blah blahNi vizuri basi itisha kikao cha familia na uwadokeze nia yako halafu uone.