Natamani kujiunga Chama la Kataa Ndoa ila Roho bado inasita-sita

Natamani kujiunga Chama la Kataa Ndoa ila Roho bado inasita-sita

Natamani kujiunga hili Chama la Wana ila roho bado inasita-sita.

Nimejifungia sehemu bado natafakari
Hata mimi nilikuwa hvyo hvyo mkuu ila mwaka wa pili unaenda na kamanda mmoja yupo mjini na fujo kibao tafuta mtoto aliyetulia weka ndani.
 
Kwanza naomba niku pongeze ewe OKW BOBAN SUNZU, hongera kwa kuweza kupata machale ya kuli kwepa zimwi la ndoa.

Usi ogope uko katika njia sahihi, maana wanawake wengi kwa Sasa ni kina kaisari, wana penda mtelezo wa kuvuna wasipo panda.

najua wata kwambia una potea, ila ukweli wengi wao Wana ugulia maumivu makali mno, ni vile Wana kosa mtetezi.
Mfano hai ni huyu Zulu man na kubwa la manusu a.k.a nusu albino Half american

Karibu karibu, katika chama bora east Africa na duniani kwa ujumla.

KATAA NDOA LINDA UHURU WAKO
KATAA NDOA LINDA UCHUMI WAKO
KATAA NDOA MKATABA WA KITAPELI
View attachment 3228273
Usipooa uta ....
 
Usiende.
Usisikilize watu waliokosa foundation nzuri kutoka kwa wazazi wao.
Umelelewa na baba na mama, in harmony, hauna majeraha ya kihisia why should you follow these confused fellow's..???
I say kama Huna majeraha ya kihisia tafuta binti aliyelelewa na wazazi wake wote wawili UOE. Usisikilize watu coming from broken homes topped up with broken relationships...
 
Karibu katika chama Cha kataa ndoa, chama chenye kupambania na kulinda haki na mali za mwanaume.

raisi wa chama chetu ni Liverpool VPN, katibu mwenezi ni Mimi Intelligent businessman, mwanasheria wa chama ni Xi Jinping, makamu mwenyekiti ni Natafuta Ajira.

Baraza la chama min -me, Loading failed.

KATAA NDOA LINDA UHURU WAKO
KATAA NDOA LINDA UCHUMI WAKO
KATAA NDOA LINDA MAISHA YAKO
KATAA NDOA MKATABA WA KITAPELI
View attachment 3228229
Ndoa ni mpango wa kumfirisi na kumwangamiza mwanaume
 
Usiende.
Usisikilize watu waliokosa foundation nzuri kutoka kwa wazazi wao.
Umelelewa na baba na mama, in harmony, hauna majeraha ya kihisia why should you follow these confused fellow's..???
I say kama Huna majeraha ya kihisia tafuta binti aliyelelewa na wazazi wake wote wawili UOE. Usisikilize watu coming from broken homes topped up with broken relationships...
Mdanganyane Kwan waliolelewa na wazazi hawasumbui?
 
Mdanganyane Kwan waliolelewa na wazazi hawasumbui?
Kuna siku utajua kwa nini nimesema niliyoyasema...sasa hivi bado mdogo sana na sijiskii kukufafanulia; endelea kujifunza through experience...I pray you graduate lol
 
Namlia timing tu ,kabla sijarambaratisha hiko chama na nataka siku niombe Mdahalo na kataa Ndoa tuelimishane kwa hoja maana naona wanaleta utoto na upuuzi.
Tunakusubiri mkuu tumekaa pale na notebook zetu zenye notes nyingi tu kwanini tunakataa ndoa
 
Ila mkikataa ndoa unamaanisha hamtaishi na mwanamke na kuzaa nae pia

Nifafanulie niwaelewe 😀
Kuzaa nao tunazaa nao vizuri Tu na watoto tunao ila Sisi hatutaki kuingia kwenye kifungo hiki batili (NDOA) chenye ukatli mwingi kwa mwanaune na mtaji kwa mwanamke. In short watoto tunao ila wake wa NDOA hatuna na kamwe hatutakuwa nao.
 
Mm kuna binti wa kisutu kanichanganya jaman ananipa yote 😀😀
Anasema amechoka kusoma anataka kuolewa

Naomba nimshinde shetani maana kitoto kinawakasio poa 😋😋
 
Back
Top Bottom