Natamani kujiunga Chama la Kataa Ndoa ila Roho bado inasita-sita

Natamani kujiunga Chama la Kataa Ndoa ila Roho bado inasita-sita

Hamna kitu kizuri kama Uhuru binafsi.
 
Kwanini wakati umeoa tayari?
got no words to say
FB_IMG_17390015354903480.jpg
 
Ndoa ni kwa wenye brain storage kuanzia 128 GB chini ya hapo endelea kupiga punyeto na kupeleka watoto kwa bibi yao ila sasa jichunge usije kujifunza tabia mbaya ukatamani kuolewa mana kama hutaki kucontrol mtu unaweza kutamani kuwa na mtu wa kukucontrol
 
mbona kuna uzi ulisema unaficha simu sijui waifu asiione

mara mtoto wako kafaulu...
The internet never forgets, sisi wenye photographic memory ata usome sehemu juu juu kwa kurashia utakumbuka tuu ndo mana I.D za malayer nazijua karibia zote na kuna moja imeshamiri siku hizi full kujibebisha akat iliombaga ushauri namna ya kuishi na v.v.u
 
mbona kuna uzi ulisema unaficha simu sijui waifu asiione

mara mtoto wako kafaulu...

Nenda kasome tena ulikuwa misinformed. Hiyo ya mtoto umeshindwa hata kutumia common sense?
 
Nenda kasome tena ulikuwa misinformed. Hiyo ya mtoto umeshindwa hata kutumia common sense?
kwanini ukatae ndoa sasa?
 
Back
Top Bottom