Natamani kujua maisha ya marehemu Al Habib Alhaji Aziz Massanga (Zingizi)

Ameshatangaza hataki tena kugombea 2020.
Nahisi atamuachia Ochele yule mjaluo Mwenzake, ila ochele ananishangaza kitu kimoja tangu anavua samaki kule shirati/sota hadi sasa ana mtoto...

Naskia pesa yake ni ya masharti, kuna ukweli hapa...
 

Mpk huyo mtu alikua ni tajiri tena sana tu.
 
Wewe muongo na mnafiki mkubwa,huna hoja yeyote wewe ndio ile michele coca
Mkuu nimeandika kidogo tu ninayoyafahamu
Wadau wake wamenishambulia kama mpira wa kona

Wewe ni mtu mzima Mkuu jiongeze

Kumsema vibaya humu kutawafanya wanaosali kwenye msikiti aliojenga wajisikie vibaya

Acha yapite
 
Yeye kabaki monster tu basi,eleza anachokijua hataki na ndio maaana namwambia haya ndio madhara ya buku saba
 
Kubwa la wanaf*k
 
Ilo jamaa ongo,halina hoja ya msingi linabaki kuzunguuka tu
 
Lkn sio kuweka legacy kwa kufanya Biashara haramu na kuumiza mamia ya vijana

Ana bahati alishtuka mapema akaacha
Kwani wengi huwa hawaachi
Mzee we acha tu we fanya mambo yako
Kuhusu Maisha ya watu na mafanikio Yana siri nyingi
Kuna Hao wewe una waona wako clean lkn ungewajua watu wakisema wakufunulie utabaki mdomo wazi

Ova
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…